Zinedine Yazid Zidane

Zinedine Yazid Zidane

Travoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
397
Reaction score
481
Wanajamvi njooni tumjadili kijana wa kifaransa mwenye asili ya Algeria....

a)Huyu jamaa ni kocha kweli au status yake kama mchezaji inambeba?

b) Yale mafanikio ni ufundi wake au ni ile timu aliyorithi.

Kuna watu wanahisi huyu jamaa ni mpanga kone tu...

Njooni tujadili...
 
Mimi naona jamaa anajua kucheza na psychologia ya wachezaji.
Ameweza kuwafanya wote wawe kitu kimoja(umoja katika timu).kitu ambacho Mou na yule kabla ya zizou walikishindwa.
Ameweza kufanya rotation ya wachezaji kulingana na mechi,alimrotate cr7 vizuri sana last season.
Ukubwa wa jina lake pia umechangia mafanikio yake.
Pia huyu anaakili na maono uwanjani.
Anawachezaji wazuri pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anafanya vizuri madrid kwasababu amekuta team tayari ni nzuri ila tofauti yake na makocha wengine ni kwamba wachezaji wanamheshimu zaidi. ila kwa ufundishaji bado huwezi kujua kama ni mzuri hadi atoke Madrid au tusubiri hii generation ya kina modric na ronaldo ipite tuone kama ataweza kujenga team yeye mwenyewe maana kikosi hiki wachezaji wengi ni wa anceloti hata formation wanatumia 433 ambayo aliileta anceloti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda "terminology" waitumiayo watu wa ulaya...kumuita "Coach" manager.
Zidane ni kocha mzuri sababu anawa-manage vyema wachezaji wake. Anafanya maamuzi yake mwenyewe, hata Perez anashindwa kumuingilia. Anawaamini makinda kama Vasquez, Asensio, Kovavic and Co. Anajua kuwatumia mastaa wake ipasavyo bila kusababisha imbalance yeyote kwenye timu.

Naona we ni mtu wa Mpira kwa analysis ndogo tu uliofnya...kudos
 
Napenda "terminology" waitumiayo watu wa ulaya...kumuita "Coach" manager.
Zidane ni kocha mzuri sababu anawa-manage vyema wachezaji wake. Anafanya maamuzi yake mwenyewe, hata Perez anashindwa kumuingilia. Anawaamini makinda kama Vasquez, Asensio, Kovavic and Co. Anajua kuwatumia mastaa wake ipasavyo bila kusababisha imbalance yeyote kwenye timu.

Sent using Jamii Forums mobile app
nasikia cr7 hatakuwepo ngoja tuone atawapangaje kesho
 
Wanajamvi njooni tumjadili kijana wa kifaransa mwenye asili ya Algeria....

a)Huyu jamaa ni kocha kweli au status yake kama mchezaji inambeba?

b) Yale mafanikio ni ufundi wake au ni ile timu aliyorithi.

Kuna watu wanahisi huyu jamaa ni mpanga kone tu...

Njooni tujadili...

Ninachojua Zinedine Yazid Zidane hawezi kujadilika na Binadamu ila anaweza tu kujadilika na Malaika wa Mbinguni na Mwenyezi Mungu pekee kutokana kwamba si Binadamu wa kawaida hasa kwa Kipaji cha ajabu alichokuwa nacho.
 
UEFA, EURO, WORLD CUP, LA LIGA, BALLON D'OR
Hamna hata mchezaji mmoja aliyepata vyote 5 kwa wote anaowafundisha lazima wamweshimu
 
Back
Top Bottom