Qatar na mpira wa miguu wapi na wapi? Nadhani lengo lao ni kumtajirisha Zidane tu.
kwa mpira upi wakupe iyo ela hao simbaKuna watu wana pesa za kuchezea. Huku kwetu mchezaji wa simba sidhani kama anafikisha 10m kwa mwezi
Ni wafrika wenye asili ya arabuni, sio waarabu. Taja Qatar, Abu dhabi, Yemen, Iran, Saudi Arabia, Oman (hata Julio keshakuwa kocha huku) n.k. Hizi ndio nchi za arabuni.Acha hivyo ndugu. Waarabu wanaakili sana ukilinganisha na sisi waafrika. Tukubali sisi kwenye mpira ni ZERO KABISA
Morocco
Algeria
Egypt
Tunisia
Ni waarabu sio waarabu? Mbona wako juu kisoka zaidi ya mataifa mengine ya afrika!!
Ni wafrika wenye asili ya arabuni, sio waarabu. Taja Qatar, Abu dhabi, Yemen, Iran, Saudi Arabia, Oman (hata Julio keshakuwa kocha huku) n.k. Hizi ndio nchi za arabuni.
Hapo kwenye soka la kidunia, kwani kuna soka la kiakhera mkuu!??[emoji23] [emoji23] [emoji23]Pongezi kwa Qatar kumsainisha Zinedine Zidane..nayaona mafanikio yao ya haraka kwenye soccer la kidunia
Hata kwenye world cup 2022, Qatar itakuwa imepiga hatua kubwa sana
Mkuu ndivyo ilivyo maisha hayako poa, wakati mguu wa nyandile unahangaika kupiga kiki ya pikipiki abebe abiria wa buku, mguu wa pogba ulilipiwa bilioni kadhaa atue man u.[emoji23] [emoji23]Hizi hela huwa wanafanyia nini? Yaani kwa siku tu unapata hela zaid ya mshahara wa miaka 10 wa vijana 10 hapa mjini tena wanaamka 11 asubuhi wanarudi 4 usiku.
Ama kweli makinikia sio madini[emoji23]
Ujinga huu nani kakuambia kaburini kuna lugha hio?Si mwalgeria kwanini asijue lugha kubwa duniani! Na ndiyo lugha pekee tutakayokumbananayo kaburini.
Lazima wapate kocha bora ili kuepuka aibu nyumbaniQatar na mpira wa miguu wapi na wapi? Nadhani lengo lao ni kumtajirisha Zidane tu.
Ujinga huu nani kakuambia kaburini kuna lugha hio?
Hapo kwenye soka la kidunia, kwani kuna soka la kiakhera mkuu!??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ili tango pori na hadidhi za kaleSi mwalgeria kwanini asijue lugha kubwa duniani! Na ndiyo lugha pekee tutakayokumbananayo kaburini.
Ili tango pori na hadidhi za kale