Zinedine Zidane kala shavu Qatar

Zinedine Zidane kala shavu Qatar

Qatar na mpira wa miguu wapi na wapi? Nadhani lengo lao ni kumtajirisha Zidane tu.

kama kudhihirasha yeye kochamzuri kashafanya...kilichobaki ni kuokota mihelaaaaaaaaaa. wakina ferguson mourinho wote hawajawaji shinda hattrick ya makombe ya uefa, kunalipi jipyautafanya ulaya in terms of club football. wacha akale bata
 
Acha hivyo ndugu. Waarabu wanaakili sana ukilinganisha na sisi waafrika. Tukubali sisi kwenye mpira ni ZERO KABISA

Morocco
Algeria
Egypt
Tunisia

Ni waarabu sio waarabu? Mbona wako juu kisoka zaidi ya mataifa mengine ya afrika!!
Ni wafrika wenye asili ya arabuni, sio waarabu. Taja Qatar, Abu dhabi, Yemen, Iran, Saudi Arabia, Oman (hata Julio keshakuwa kocha huku) n.k. Hizi ndio nchi za arabuni.
 
Hizi hela huwa wanafanyia nini? Yaani kwa siku tu unapata hela zaid ya mshahara wa miaka 10 wa vijana 10 hapa mjini tena wanaamka 11 asubuhi wanarudi 4 usiku.
Ama kweli makinikia sio madini[emoji23]
Mkuu ndivyo ilivyo maisha hayako poa, wakati mguu wa nyandile unahangaika kupiga kiki ya pikipiki abebe abiria wa buku, mguu wa pogba ulilipiwa bilioni kadhaa atue man u.[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom