Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Kaamua kuungana na Waarabu wenzake
Yaani mkuu we acha tu..tunashukuru Mungu kwakweli mwafirika mwenzetu kupewa ukocha nchini Qataar. Waarabu huko waliko Mungu awabariki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaamua kuungana na Waarabu wenzake
Acha urongo!!
Mshahara wa siku moja unauaga umaskini tanzania
Hata hiyo milioni 110 kwa siku bado nyingi sana kwa siku kweli hawa waarabu wana hela za kuchezea.....Kabisa yani.
Mwafrika ni nani hapo?Hongera mwafrika mwenzetu..Qatar lazima wakukubali. Qatar Mungu awabariki na timu yenu iwe na mafanikio makubwa..aameen!
Simba mchezaji ghali analipwa 2M,Kuna watu wana pesa za kuchezea. Huku kwetu mchezaji wa simba sidhani kama anafikisha 10m kwa mwezi
Hata hiyo milioni 110 kwa siku bado nyingi sana kwa siku kweli hawa waarabu wana hela za kuchezea.....
Sisi mbona haya mafuta na gesi huku kwetu hayatusaidii....
Kweli muafrika ni muafrika tu....
Mwafrika ni nani hapo?
Mwafrika mwenzenu!? My foot! [emoji12]
Qatar na mpira wa miguu wapi na wapi? Nadhani lengo lao ni kumtajirisha Zidane tu.
Kuna ukweli hapa. Hii habari itakuwa ya uongo. Nimeitafuta kwenye vyombo vikubwa vya habari sijaiona. Nimeenda bbc sports. Hamna kitu. Tumeingizwa chaka.Fake news.
Kweli hii taarifa kweli tumepigwa changa la macho na mleta mada. Na tulivyokuwa mabwege hata source ya habari hamna tunachangia tu kama mazuzu.Hivi hii habari ilikua April fools?
Picha ya zamani Sana iliyotumika, alipiga Zidane akiwa balozi wakati Qatar inawania nafasi ya ku host world cup.
Noma sana!Mshahara wa siku moja unauaga umaskini tanzania
Ustazi mwepesi hajawahi kua star ata wa miaka mitatu kilichompa umaarufu ni mechi moja tu ya fainali 1998 pale state de france .....ambayo ilikua France Vs Brazil ila ni mwepesi sana ndio maana ata Perez hamkubali kwa kifupi ana kikosi bora ila si mtaalam wa mbinu za ukocha ata ilo shavu la quatar ni bahati na jina tu....kiufupi ata ikiangalia kina Maradona mara nyingi star kua kocha mzuri hua ni nadra sana
Ndio hivyo Mkuu, uongo mtupu. Hata kwenye tetesi hamna. Picha ya zamani sana hiyo.Kuna ukweli hapa. Hii habari itakuwa ya uongo. Nimeitafuta kwenye vyombo vikubwa vya habari sijaiona. Nimeenda bbc sports. Hamna kitu. Tumeingizwa chaka.Kweli hii taarifa kweli tumepigwa changa la macho na mleta mada. Na tulivyokuwa mabwege hata source ya habari hamna tunachangia tu kama mazuzu.
haha duuh. ..basi ngoja niseme Algerian arabic au kiberber hizo ndo native languageKialgeria? Nina wasiwasi kama hiyo lugha inaexist
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duu!! naomba Mungu baby wangu!!.asipite huku maana hapatakalika kwa kwel.
hahahaha pole sanaFake news.