Zinedine Zidane Zizzou alikuwa vipi enzi zake?

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Hebu leo tumzungumzie huyu maestro Babu zizzou unakumbuka nini toka kwake enzi anasakata kabumbu
 
Alikuwa ni moto wa kuotea mbalii...ndio maana yupo ktk list ya maLejendari wa kabumbu.

Malejendari wa kabumbu.
Beckam? Drogba? Gerrad? Neymar? mshkaji vipi unamda gani toka uanze kutiza football? Ushawah kumuona Romario? Rivaldo? Zico? Baggio? Platini? Laudrap? Baresi? Yashin? Zoff? Mathius? Van Basten?
 
Mzee unajishushia heshima. Okocha? Ortega na Aimar umewahi kuwaona? Rivaldo, Romario je? Rui costa, Figo, Futre ? Del piero, Baggio, Totti?

Umefanya la maana kunikumbusha,, nilikuwa nimewasahau aise hao mafundi...bila kumsahau davor suker, Gianfranco zola, maldini, Veron Ayala and zambrotta.
 
Okochaaaaaa...
Sjaona kama yeye africa ile kiungo ilikuwa ni shida sana aisee...nguvu,akili,vyenga,mashuti nk....huku inatabasamu.
 
Okochaaaaaa...
Sjaona kama yeye africa ile kiungo ilikuwa ni shida sana aisee...nguvu,akili,vyenga,mashuti nk....huku inatabasamu.

Wa Africa kwa Okocha dah kama wamerogwa.
Alikua wakawaida tu kiukweli. mbewembwe ndizo zilizokua zinakushuhulisheni.

Umemuona Abedi Pele? Weah? kalusha bwalya? Makanaky? Roger Milla? Mustapha Hajji ?
 
Wa Africa kwa Okocha dah kama wamerogwa.
Alikua wakawaida tu kiukweli. mbewembwe ndizo zilizokua zinakushuhulisheni.

Umemuona Abedi Pele? Weah? kalusha bwalya? Makanaky? Roger Milla? Mustapha Hajji ?

Okocha alikuwa mzuri ila mbwembwe nyingi like gaucho vile..Mustapha Hajj ilikuwa mashine ile.
 
Enzi hizo kuchukua Ballon D'or ni mziki.

Kwa sasa angerikuwepo ndio kabisaa. Tena wala usiumize kichwa bro,, Hata hao akina
George Weah, Matthias Sammer, Ronaldo, Zinedine Zidane, Rivldo, Luis Figo, Michael Owen, Pavel Nedved, Andriy Shevchenko, Ronaldinho, Kaka, Fabio Cannavaro.... yani hawa ni watoto kwa Messi na Cr7, yani wangepotezwa ile mbaya... Viwango vyao havitofautiani na players Iniesta, Di Maria, Cavani, xavi, Aguero, Suarez, Salah, Dybala, Neimar, Hazard, De bruyen,Carrasco, Leroy sane, Mahrez, kane, Assensio,Isco, Coutinho, Ozil, Emre khan, GriezMan, Higuain, Lcardi, Robben,Lewandownski na Mbappe.
 
Sio kweli


Hao akina zizzou wasingenusa wala kuchukua ballon dor hata moja


Messi anafunga magoli 60 kwa msimu Ronaldo anakupa magoli 50 kwa msimu

Wanachukua viatu za dhahabu kila kukicha uefa na ligi wao tena kwa margin kubwa ya magoli

Halafu miaka hii wanatizama idadi ya magoli na assists

De Lima ,zizzou wangekuwa enzi hizi ballon dor wangesikia kwenye bomba bahati yao hawapo enzi za hawa mabwana
 
nitajie beki mmoja wa sasa ambaye angalau anaweza kaa na malegend wa zamani kama Nesta, Beckenbeur, Malidini etc.

level ya ukabaji imeshuka Sana. wachezaji kibao kama Harry kane, Ibrahimovic, Suarez, Cavani, wanafikisha Goli 40 au 50 zama hizi. hivyo usishangae watu kufunga magoli mengi.
 
Malejendari wa kabumbu.
Beckam? Drogba? Gerrad? Neymar? mshkaji vipi unamda gani toka uanze kutiza football? Ushawah kumuona Romario? Rivaldo? Zico? Baggio? Platini? Laudrap? Baresi? Yashin? Zoff? Mathius? Van Basten?
Ongeza na pirlo mzaz
 

Umeongea maneno kuntu kabisa. Sina la kuongeza mkuu
 

Hata hao Ronaldo na Messi wangekua enzi zile nawao wangeishia kupiga picha na watu tu.
Hata mda huo walikuepo watu wanaofunga magoli lakini hawakuwah kuwa kwenye kinyang'anyiro. Uwezo wa mpira na magoli ni vitu viwili tafauti. na ndomana kukawa na tunzo ya mchezaji bora mbali na mfungaji bora mbali. Alan sherear, Henry, Trezguet, Raul, Elbar, Van nestroy. Wote hao walikua wakipiga mabao tele tu lakini mabao yao hayakuwapa tunzo yoyote. Kwaiyo hata huyo Ronaldo angeishia kama wao.
Siasa na Biashara ndani ya football imezidi kuwa kubwa, na ndio tatizo kubwa la football ya sasa.
Mpira wa saivi umekua ili uheshimike ati kuwa na mafans wengi kwenye insta nayo kigezo sasa sivichekesho ivo.
 

Inawezekana ukawa na makengeza kidogo mkuu.

Alichokua akiweza kufanya Ronaldo De lima uwanjani ni dream tu Kwa Cristina ataishia kutizama kwenye TV tu vitu kama vile.
 

Football imebadilika sana. Wachezaji wenye uwezo wamkua wachache, Timu zenye ubora zimekua chache, Uhaba wa wachezaji kila sehemu. Neymar Jr anaesifika kuwa anajua mpira duniani alipotezwa uwanjani na Nacho tu juzi. Je angelikutana na Thuram, Zambrotta, Maldini, Nesta, Cannavaro, Baresi, Cafu, Carlos ingelikuwaje?
Mpira wa leo umekua mpaka Lukaku nae anafikisha 30 goals kwnye msimu. wakati goli 20 kwa star kufika miaka 15 nyuma ilikua shughuli pevu.
Leo beki wa Machestar ni Jones, Young, Smaling. isiwe vipi rahisi kufanga? wakati mnakumbuka ilipokua Stam, Johnson, Irwin, Neviele wakionngozwa na Roy Kean mbele yao ilo goli litaingia tu kirahisi? Sasa jiulize De lima angelimpata Smaling ingelikuaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…