Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa ni moto wa kuotea mbalii...ndio maana yupo ktk list ya maLejendari wa kabumbu.![]()
Kipindi hicho
- Zidane
- Requelme
- De lima
- Gaucho
- Batistuta
- Okocha
Mzee unajishushia heshima. Okocha? Ortega na Aimar umewahi kuwaona? Rivaldo, Romario je? Rui costa, Figo, Futre ? Del piero, Baggio, Totti?
Okochaaaaaa...
Sjaona kama yeye africa ile kiungo ilikuwa ni shida sana aisee...nguvu,akili,vyenga,mashuti nk....huku inatabasamu.
Wa Africa kwa Okocha dah kama wamerogwa.
Alikua wakawaida tu kiukweli. mbewembwe ndizo zilizokua zinakushuhulisheni.
Umemuona Abedi Pele? Weah? kalusha bwalya? Makanaky? Roger Milla? Mustapha Hajji ?
Enzi hizo kuchukua Ballon D'or ni mziki.
Sio kweliKwa sasa angerikuwepo ndio kabisaa. Tena wala usiumize kichwa bro,, Hata hao akina
George Weah, Matthias Sammer, Ronaldo, Zinedine Zidane, Rivldo, Luis Figo, Michael Owen, Pavel Nedved, Andriy Shevchenko, Ronaldinho, Kaka, Fabio Cannavaro.... yani hawa ni watoto kwa Messi na Cr7, yani wangepotezwa ile mbaya... Viwango vyao havitofautiani na players Iniesta, Di Maria, Cavani, xavi, Aguero, Suarez, Salah, Dybala, Neimar, Hazard, De bruyen,Carrasco, Leroy sane, Mahrez, kane, Assensio,Isco, Coutinho, Ozil, Emre khan, GriezMan, Higuain, Lcardi, Robben,Lewandownski na Mbappe.
nitajie beki mmoja wa sasa ambaye angalau anaweza kaa na malegend wa zamani kama Nesta, Beckenbeur, Malidini etc.Sio kweli
Hao akina zizzou wasingenusa wala kuchukua ballon dor hata moja
Messi anafunga magoli 60 kwa msimu Ronaldo anakupa magoli 50 kwa msimu
Wanachukua viatu za dhahabu kila kukicha uefa na ligi wao tena kwa margin kubwa ya magoli
Halafu miaka hii wanatizama idadi ya magoli na assists
De Lima ,zizzou wangekuwa enzi hizi ballon dor wangesikia kwenye bomba bahati yao hawapo enzi za hawa mabwana
Ongeza na pirlo mzazMalejendari wa kabumbu.
Beckam? Drogba? Gerrad? Neymar? mshkaji vipi unamda gani toka uanze kutiza football? Ushawah kumuona Romario? Rivaldo? Zico? Baggio? Platini? Laudrap? Baresi? Yashin? Zoff? Mathius? Van Basten?
Sio kweli
Hao akina zizzou wasingenusa wala kuchukua ballon dor hata moja
Messi anafunga magoli 60 kwa msimu Ronaldo anakupa magoli 50 kwa msimu
Wanachukua viatu za dhahabu kila kukicha uefa na ligi wao tena kwa margin kubwa ya magoli
Halafu miaka hii wanatizama idadi ya magoli na assists
De Lima ,zizzou wangekuwa enzi hizi ballon dor wangesikia kwenye bomba bahati yao hawapo enzi za hawa mabwana
Sio kweli
Hao akina zizzou wasingenusa wala kuchukua ballon dor hata moja
Messi anafunga magoli 60 kwa msimu Ronaldo anakupa magoli 50 kwa msimu
Wanachukua viatu za dhahabu kila kukicha uefa na ligi wao tena kwa margin kubwa ya magoli
Halafu miaka hii wanatizama idadi ya magoli na assists
De Lima ,zizzou wangekuwa enzi hizi ballon dor wangesikia kwenye bomba bahati yao hawapo enzi za hawa mabwana
Kwa sasa angerikuwepo ndio kabisaa. Tena wala usiumize kichwa bro,, Hata hao akina
George Weah, Matthias Sammer, Ronaldo, Zinedine Zidane, Rivldo, Luis Figo, Michael Owen, Pavel Nedved, Andriy Shevchenko, Ronaldinho, Kaka, Fabio Cannavaro.... yani hawa ni watoto kwa Messi na Cr7, yani wangepotezwa ile mbaya... Viwango vyao havitofautiani na players Iniesta, Di Maria, Cavani, xavi, Aguero, Suarez, Salah, Dybala, Neimar, Hazard, De bruyen,Carrasco, Leroy sane, Mahrez, kane, Assensio,Isco, Coutinho, Ozil, Emre khan, GriezMan, Higuain, Lcardi, Robben,Lewandownski na Mbappe.
nitajie beki mmoja wa sasa ambaye angalau anaweza kaa na malegend wa zamani kama Nesta, Beckenbeur, Malidini etc.
level ya ukabaji imeshuka Sana. wachezaji kibao kama Harry kane, Ibrahimovic, Suarez, Cavani, wanafikisha Goli 40 au 50 zama hizi. hivyo usishangae watu kufunga magoli mengi.