Zinedine Zidane Zizzou alikuwa vipi enzi zake?

Mkuu umenena vyema kabisa. Atuwekee list ya wachezaji ambao wanaweza kufikia level za hao Malegend.
 
Mkuu hebu kula hii [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Mkuu mimi natembeza hii [emoji106][emoji106][emoji106] tu kwa watu wanaojua mpira.
 
Wa Africa kwa Okocha dah kama wamerogwa.
Alikua wakawaida tu kiukweli. mbewembwe ndizo zilizokua zinakushuhulisheni.

Umemuona Abedi Pele? Weah? kalusha bwalya? Makanaky? Roger Milla? Mustapha Hajji ?
ongezea na Tony Yeboah, unamkata chenga anawahi yeye kunyanyuka na anacheka tu hana hamu na wewe
 
Wa Africa kwa Okocha dah kama wamerogwa.
Alikua wakawaida tu kiukweli. mbewembwe ndizo zilizokua zinakushuhulisheni.

Umemuona Abedi Pele? Weah? kalusha bwalya? Makanaky? Roger Milla? Mustapha Hajji ?
Daah mkuu wewe uko vizuri kwenye game, okocha was very average, bora yekini mara kumi
 
zamani game ilikuwa tough
 
kumbuka pia zamani kulikuwa na makipa m bora kabisa , dino zoff, angelo peruzi, peter scheimel,kipa wa chile, etc
 
Mzee unajishushia heshima. Okocha? Ortega na Aimar umewahi kuwaona? Rivaldo, Romario je? Rui costa, Figo, Futre ? Del piero, Baggio, Totti?
Hapo nimewahi kuwaona Luis Figo na Francisco Totti tu.
 
Aina ya uchezaji wa Cr7 sijawahi kuipenda, hata Bal'dior anazopewa naona ni siasa za kimpira zaidi!
 

UNAAAKILI SANA ..NIKIWAAMBIAGA WATU HIVI HUWA WANAPINGA ...NAKUMBUKA NILIWAHI KUTOA SOMO KAMA HILI LAKO KATIKA UZI FULANI HUMU HUMU WATU WALIBISHAA BUT MWISHO WASIKU WALIKIMBIA ....
MESSI NA CR7 NI WACHEZAJI AMBAO WANA LEVEL YA U GENIUS HALAFU HAO WENGINE NI WACHEZAJI WENYE VIWANGO VIKUBWA "" SO IMEKUWA NI NGUMU HAWA WACHEZAJI WENYE LEVEL YA VIWANGO VIKUBWA KUWASHINDA HAO MA GENIUS KWA SABABU MA GENIUS UWEZO WAO UMEJITENGA PEKEE "" NDIO MAANA TUNAONA HAO MA GENIUS KILA SIKU WAMEKUWA WAKITAMBA WAO TU ...HATA HAO MALEGEND WANGEKUWAPO KATIKA MPIRA WA USHINDANI MPKA HII LEO WANGE KUWA WANATOKA KAPA SANA TU "" KWA SABABU WALIKUWA WANA LEVEL YA VIWANGO VIKUBWA NA SIO U GENIUS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…