Zinedine Zidane Zizzou alikuwa vipi enzi zake?

Uzi mzuri....tatizo naliona kwenye diversity ya wachangiaji...we are different generations kwa hiyo mitazamo tofauti kabisa....

Kwa kizazi kipya cha defender Smalling na Striker Kane....ni sawa kusema Cr7 na Messi ni bora kuliko...hiki ni kizazi cha mpira wa kulipia super sport....

Kwa kizazi chetu tulioanza kuangalia EPL bure kupitia DTV na UCL bure kupitia ITV nao wakituunga na CFI....Zizzou ni one of our best of all....

Ukirudi nyuma ya akina Zizu kuna mchawi Maradona....world cup 1986....single handedly aliibeba Argentina kuchukua kombe na 1990 aliifikisha fainali....hiyo ndiyo miaka ya akina Careca na Zico akiishia...ujerumani ya akina Klinsmann....Platini

Ukirudi nyuma....utamkuta mfalme mwenyewe...Edson Arantes Nascimento...ulaya ikiwa na magwiji Franz Backenbauer...Bobby Charlton...mholanzi wa total football...

Kila zama na mambo yake....
 
Riquelme alikuwa fundi tatizo lake alikuwa slow ndio maana barca alishindwa kucheza
Riquelme alisajiliwa na rais wa Barca na ilikuwa kipindi cha uchaguzi sasa ili apate kura akatoa ahadi atamsajili riquelme lakini kocha Van Gaal alikataa alisema riquelme hayupo kwenye mipango yake hamtaki aliposajiliwa riquelme alikuwa hachezeshwi na miezi michache january akapelekwa kwa mkopo villarreal

Riquelme sio kama alishindwa kucheza Barca sababu ya slow bali kocha alikuwa hamtaki na hakuridhia usajili ule uliokuwa wa kisiasa wakati mwingine van gaal kiburi sana.
 
Zidane alikuwa hatari sana


Tena hapo nimemuweka tu, lakini sio level ya hao wengine labda kwa mbali Requelme alikuwa anamfukuzia. Zidane yupo na akina De stefano bwana, puskas, Cruyff and Cr7. Hao akina De lima na wenzie wako level yachini bado ni wachanga sana kwa Zidane na Requelme.
 
Ronaldinho tu anawakalisha messi na c. Ronaldo wacha hao wengine

Wewe ni wawapi? Umetokea usukumani sio??Gaucho wako ashindanishwe na akina iniesta aguero neimar dybala de lima ndio level yake. Akipita ndipo ashindanishwe na akina alfredo de stefano, zidane, puskas, cruyff, cr7 akipita hapa pia ndipo ashindanishwe na baba zake MESSI, DIEGO AND PELE. Ni ngumu sana na ataendelea kusubiri sana. Goodnight
 
Ume msahau Messi hapo
 
Hamna braza jamaa yuko sawa
Gaucho yuko na ki nazidane messi na Cr 7
Maradona yuko peke yake
Na Pele hana hata wa kumkaribia. (Au at keast unganisha Pele na Maradona)
 
Unajua van gaal alifukuzwa january 2003, baadae akaja rijkaard ambaye ndiye aliyempeleka riquelme villareal kwa mkopo ,
 
Ume msahau Messi hapo

Messi ni wa sayari ingine bwana, wao wenyewe wanalijuwa hilo.

  1. Messi
  2. Diego
  3. Pele.

  1. Alfredo
  2. Puskas
  3. Cruyff
  4. Zidane
  5. Cr7

  1. Requelme
  2. De lima
  3. Kempes
  4. Garincha
  5. Aimar
  6. Batistuta
  7. Iniesta
  8. Gaucho
  9. Xavi
  10. Okocha n.k

Hapo bado kuna legends wengi wamepita,, wapo wakina delpiero, zambrotta, Crespo alishawai kukipiga Chelsea and inter i think.kuna Ayala huyu ni muargentina pia, juanfranco zola miaka ya 90 mpaka 2000 alitamba sana, petit, deschamps, beckamp, kluivert, kanu, mustafa hadji, ustazi el haji diouf, JOCKAIEF mfaransa huyu nilikuwa simpendi balaa, yani akikutana na tim yangu lazima atupie....n.k
 
Walioanza kuangalia mpira juzi utawajua tu
 

Kuvizia mpira nyuma ya mabeki na kusubiri kipa ateme nao ni u genius?

hebu kajaribu kumtizama Rui Costa, Zidane, Laudroup, Futre, Romario utafaham nini maana ya Uginius.
 
Kuvizia mpira nyuma ya mabeki na kusubiri kipa ateme nao ni u genius?

hebu kajaribu kumtizama Rui Costa, Zidane, Laudroup, Futre, Romario utafaham nini maana ya Uginius.
anayesubiri Mpira auteme nani sasa ...!!!?mbona scenario yako haiko complete
 
Cristina. nani mwengine.

Kumfananisha Ronaldo nakina Zidane, Rui Costa, Romario, Laudrap, Futre ni kuuaibisha mchezo wa soka.
mkuu CR7 mimi simpendi "" kwa sbabu anapnda kujiweka level 1 na messi kiumbe ambaye ni invisible"" ila naamini kuwa CR7 Mpira anaujua tena kawaacha mbali mnooo hao uliowataja ...tatizo wamtazama cr7 huyu wa hii misimu mi3 ..mtazame cr7 wa misismu mi3 iliyopita ""
Jamaa anajua mnoo tu tena sana ''' kumpa challenge messi co jambo Dogo mkuu "" na Jamaa ana akili mnooo anajua fika hawezi kufnya battle ya kudrible na messi .hawezi kufnya battle ya kupiga faulo na kutoa assist kama messi ..anajua fika kuwa hawezi kuwa na skilis na mchezeshaji. team kama messi "" anajuwa wazi hawezi kuwa na kasi kwa sasa kama messi ...so anachokifnya nikuhakikisha anashinda tu "" ili aweze kujibalance Nate ktika upnde huo....na inapotokea akashinda kwa kuwa dunia inamashabiki maandazi wasio angalia quantity za mtu basiii wanao msaport watasimama nakuanza kushangilia ..pasipo kuangalia mapungufu yake ..

halafu nataka nikwambie kitu UEFA wanamtambua CR7 KAMA MCHEZAJI BORA NAMBA TATU KUWAHI KUTOKEA KTIKA SOKA LA ULAYA ..AKIWA NYUMA YA YOHAN CRYF MICHELE PLATIN THEN CR7 ..ZIDANE ANAFUATIA KATIKA NAFASI YA 5. """ HADI HAPO UTAKUWA UMESHAELEWA SOMO
 
Narekebisha kidoogo kuna sehemu umepotosha umma.
1.Pele
2. Maradona
3.5 Cr 7,
3.5 Messi

5 na kuendelea hao wengine woote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…