Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,508
- 1,566
Umemuona Figo yupi....akiwa Barca au Madrid?Hapo nimewahi kuwaona Luis Figo na Francisco Totti tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemuona Figo yupi....akiwa Barca au Madrid?Hapo nimewahi kuwaona Luis Figo na Francisco Totti tu.
Kipindi hicho
- Zidane
- Requelme
- De lima
- Gaucho
- Batistuta
- Okocha
Riquelme alikuwa fundi tatizo lake alikuwa slow ndio maana barca alishindwa kuchezaDah.....
Umemtaja fundi.....Requelme
Riquelme alisajiliwa na rais wa Barca na ilikuwa kipindi cha uchaguzi sasa ili apate kura akatoa ahadi atamsajili riquelme lakini kocha Van Gaal alikataa alisema riquelme hayupo kwenye mipango yake hamtaki aliposajiliwa riquelme alikuwa hachezeshwi na miezi michache january akapelekwa kwa mkopo villarrealRiquelme alikuwa fundi tatizo lake alikuwa slow ndio maana barca alishindwa kucheza
Zidane alikuwa hatari sana
Ronaldinho tu anawakalisha messi na c. Ronaldo wacha hao wengine
Ume msahau Messi hapoTena hapo nimemuweka tu, lakini sio level ya hao wengine labda kwa mbali Requelme alikuwa anamfukuzia. Zidane yupo na akina De stefano bwana, puskas, Cruyff and Cr7. Hao akina De lima na wenzie wako level yachini bado ni wachanga sana kwa Zidane na Requelme.
Hamna braza jamaa yuko sawaWewe ni wawapi? Umetokea usukumani sio??Gaucho wako ashindanishwe na akina iniesta aguero neimar dybala de lima ndio level yake. Akipita ndipo ashindanishwe na akina alfredo de stefano, zidane, puskas, cruyff, cr7 akipita hapa pia ndipo ashindanishwe na baba zake MESSI, DIEGO AND PELE. Ni ngumu sana na ataendelea kusubiri sana. Goodnight
Unajua van gaal alifukuzwa january 2003, baadae akaja rijkaard ambaye ndiye aliyempeleka riquelme villareal kwa mkopo ,Riquelme alisajiliwa na rais wa Barca na ilikuwa kipindi cha uchaguzi sasa ili apate kura akatoa ahadi atamsajili riquelme lakini kocha Van Gaal alikataa alisema riquelme hayupo kwenye mipango yake hamtaki aliposajiliwa riquelme alikuwa hachezeshwi na miezi michache january akapelekwa kwa mkopo villarreal
Riquelme sio kama alishindwa kucheza Barca sababu ya slow bali kocha alikuwa hamtaki na hakuridhia usajili ule uliokuwa wa kisiasa wakati mwingine van gaal kiburi sana.
Hamna braza jamaa yuko sawa
Gaucho yuko na ki nazidane messi na Cr 7
Maradona yuko peke yake
Na Pele hana hata wa kumkaribia. (Au at keast unganisha Pele na Maradona)
Ume msahau Messi hapo
UNAAAKILI SANA ..NIKIWAAMBIAGA WATU HIVI HUWA WANAPINGA ...NAKUMBUKA NILIWAHI KUTOA SOMO KAMA HILI LAKO KATIKA UZI FULANI HUMU HUMU WATU WALIBISHAA BUT MWISHO WASIKU WALIKIMBIA ....
MESSI NA CR7 NI WACHEZAJI AMBAO WANA LEVEL YA U GENIUS HALAFU HAO WENGINE NI WACHEZAJI WENYE VIWANGO VIKUBWA "" SO IMEKUWA NI NGUMU HAWA WACHEZAJI WENYE LEVEL YA VIWANGO VIKUBWA KUWASHINDA HAO MA GENIUS KWA SABABU MA GENIUS UWEZO WAO UMEJITENGA PEKEE "" NDIO MAANA TUNAONA HAO MA GENIUS KILA SIKU WAMEKUWA WAKITAMBA WAO TU ...HATA HAO MALEGEND WANGEKUWAPO KATIKA MPIRA WA USHINDANI MPKA HII LEO WANGE KUWA WANATOKA KAPA SANA TU "" KWA SABABU WALIKUWA WANA LEVEL YA VIWANGO VIKUBWA NA SIO U GENIUS
anayesubiri Mpira auteme nani sasa ...!!!?mbona scenario yako haiko completeKuvizia mpira nyuma ya mabeki na kusubiri kipa ateme nao ni u genius?
hebu kajaribu kumtizama Rui Costa, Zidane, Laudroup, Futre, Romario utafaham nini maana ya Uginius.
anayesubiri Mpira auteme nani sasa ...!!!?mbona scenario yako haiko complete
mkuu CR7 mimi simpendi "" kwa sbabu anapnda kujiweka level 1 na messi kiumbe ambaye ni invisible"" ila naamini kuwa CR7 Mpira anaujua tena kawaacha mbali mnooo hao uliowataja ...tatizo wamtazama cr7 huyu wa hii misimu mi3 ..mtazame cr7 wa misismu mi3 iliyopita ""Cristina. nani mwengine.
Kumfananisha Ronaldo nakina Zidane, Rui Costa, Romario, Laudrap, Futre ni kuuaibisha mchezo wa soka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Iceman hulali??
Narekebisha kidoogo kuna sehemu umepotosha umma.Messi ni wa sayari ingine bwana, wao wenyewe wanalijuwa hilo.
- Messi
- Diego
- Pele.
- Alfredo
- Puskas
- Cruyff
- Zidane
- Cr7
- Requelme
- De lima
- Kempes
- Garincha
- Aimar
- Batistuta
- Iniesta
- Gaucho
- Xavi
- Okocha n.k
Hapo bado kuna legends wengi wamepita,, wapo wakina delpiero, zambrotta, Crespo alishawai kukipiga Chelsea and inter i think.kuna Ayala huyu ni muargentina pia, juanfranco zola miaka ya 90 mpaka 2000 alitamba sana, petit, deschamps, beckamp, kluivert, kanu, mustafa hadji, ustazi el haji diouf, JOCKAIEF mfaransa huyu nilikuwa simpendi balaa, yani akikutana na tim yangu lazima atupie....n.k