Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

Gereza la Moro Sumbawanga unalijua?
 
Kuna utaratibu gani wa kujua mfungwa fulani kamaliza mda wake wa kukaa jela anatakiwa kutoka
 
Mbaya zaidi ukirudi mtaani kila mtu anakukimbia/anakukwepa,yani kama utawatia msala nao wafungwe,dah yani ni nuksi tupu asee.

Nadhani ndo mana kuna nadharia ya kuogeshwa na kuchoma nguo zote ulizokuwa nazo huko, kabla ya kufika nyumbani hata kama ulikuwa rumande siku moja tu.
 
Kwa kukata rufaa hawezi kuchapwa maana kama akishinda rufaa itakuwa haina maana tena japo **** mufa utapotea huo hauna namna ila viboko vinaweza kusubiri utekelezwaji Mkuu.
 
ulichosema ni sahihi....kujiandaa kwa utayari....wakati wowote....ishi kwa wema na watu wote......GEREZANI hakufai kabisa........kuna udhalilishaji wa kuutesa moyo wako milele......na visasi visivyopangiliwa.........kuna magereza yanayokufanya uwe KATILI ajabu.........lipo ukanda wa dom / mg.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…