Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Gereza la Moro Sumbawanga unalijua?Maweni naona ndio gereza gumu sana kutokana na location yake ilipo utapiga sana kokoto kwenye jua pale wafugwa wengi pale wametoka magereza ya karanga(Kilimanjaro) na kisongo(Arusha) hawa ni wa vifungo virefu na wale wa pale tanga kule shuruba ni nzito sana wafungwa wa kunyongwa wapo pia pale wengii tyu (condemn) maweni hata askari magereza ni wakali sana upekuzi ni kila muda na vipigo ukienda kule mwezi utapauka na kua mweusi tiii kutokana na joto, kazi, mrundikano wakuu gereza la maweni ndio gereza naloliogopa kuliko yote Tanzania likifuatiwa na gereza la Songwe na gereza lililopo Ruvuma!