Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

Tuliwahi kwenda kumcheki jamaa mmoja alikuwa kafungwa gerezani kwa kosa la kugonga mtu alikuwa dereva aisee! ni noma jamaa alikua mdebwedo ila kule gerezani tulimkuta kawa jasiri.....ile kuongea na mfungwa kama umeenda kumuona anaitwa kwa sauti kubwa na akifika mlangoni mnaongea kwa sauti kubwa sana mnarushiana na maneno hapa na kule,tuliona wafungwa wamelala chini wameishiwa nguvu wengine wanatapika,kule gerezani utu hauna thamani usiombe kwenda jela.

Kuna gereza la kwitanga aisee! jamaa wanalima ni kufuru,wafungwa wanabeba michikichi kichwani wakiwa wamenyolewa vipara.
 
Kuna watu wanasema gereza sio kaburi ila sidhani kama wawewah kufungwa, wazee jela mbaya tena sana kwa tunaopafaham panaitwa kaburi kasoro mchanga, just imagine mlo mmoja kwa siku tena ugal mkubwa ila mboga sasa unakuta majan yakunde yalokomaa maharage manne mchuzi pipa , kuoga kwa folen, kujisaidia kwa folen tena waziwazi kabsa wenzio wanakuona, kulala sa9, kulala kwenyew unalalia ubavu,ukilala chali au kifudifudi unakula kipgo , godoro zmeoza jasho yan chumba kimoja wafungwa 50 mpk 60 hakuna simu wala mawasliano ya aina yoyte mayb mtu aje kukuona, kaz ngumu ukiugua dawa za shd yan ukiwa jela zaid ya mwaka lazma upate mental ilness , hayo ni machache tu ila mateso jela ni mengi sana unaweza tamani kujiua ila huwez pata upenyo, kiufupi kuna kesi za kuogopa na ni muhmu watu kujiweka mbal nazo maana kifungo chake ni kirefu: madawa ya kulevya hasa kusafirisha, ujangili(meno ya tembo n.K) mauaji, ujambaz na wizi, ubakaji na ulawiti , binafsi hzo kesi zmewasotesha wengi jela na zko complicated sana, mwisho tuish kwa kufuata sheria na kumtanguliza mungu, ukisema jela sio kaburi siku ukifungwa ndo utajua hujui, JELA NI KABURI KASORO MCHANGA
 
amina
 
Ndugu wangu Fulani ( Moja ya Makomandoo walofuachishwa kazi na kufungwa).

Nilimtembelea Ukonga hapo .

Pamoja na Ukomandoo, aliniambia "Mdogo wangu hakikisha unakua Mwema sana huko Mtaani, Jela haifai'.
Hamna mjanja gerezani sema kuna wana jela kwao kama home anaachiwa mwezi huu mwezi ujao unamwona tena ngome had mabwana jela wanakua wanawafaham.
 
Kuna watu wanasema gereza sio kaburi ila sidhani kama wawewah kufungwa, wazee jela mbaya tena sana kwa tunaopafaham panaitwa kaburi kasoro mchanga, just imagine mlo mmoja kwa siku tena ugal mkubwa ila mboga sasa unakuta majan yakunde yalokomaa maharage manne mchuzi pipa , kuoga kwa folen, kujisaidia kwa folen tena waziwazi kabsa wenzio wanakuona, kulala sa9, kulala kwenyew unalalia ubavu,ukilala chali au kifudifudi unakula kipgo , godoro zmeoza jasho yan chumba kimoja wafungwa 50 mpk 60 hakuna simu wala mawasliano ya aina yoyte mayb mtu aje kukuona, kaz ngumu ukiugua dawa za shd yan ukiwa jela zaid ya mwaka lazma upate mental ilness , hayo ni machache tu ila mateso jela ni mengi sana unaweza tamani kujiua ila huwez pata upenyo, kiufupi kuna kesi za kuogopa na ni muhmu watu kujiweka mbal nazo maana kifungo chake ni kirefu: madawa ya kulevya hasa kusafirisha, ujangili(meno ya tembo n.K) mauaji, ujambaz na wizi, ubakaji na ulawiti , binafsi hzo kesi zmewasotesha wengi jela na zko complicated sana, mwisho tuish kwa kufuata sheria na kumtanguliza mungu, ukisema jela sio kaburi siku ukifungwa ndo utajua hujui, JELA NI KABURI KASORO MCHANGA
Gereza ni kaburi fikiria walioko condemn wanayopitia gereza ufugwe na kifungo cha chini ya miaka mitano ila juu ya hapo wewe tyu na Mungu wako.
 
na Sabaya pia mana yeye tayari mvua 30 inamnyea. Ila huyu watakua wanampa special diet mbona ndio kwanza ananawili
Ujanja wake sabaya hataishi kule kiboya kwanza ana advantage kubwa kafugwa kisongo arusha mkoa aliokulia lazima ndugu wafanye juu chini aishi vizuri kitakachomsumbua sabaya ni kutii amri za maaskari najua atatiii ila atakua anaumia nafsi sana
 
Ukihukumiwa miaka kadhaa jela na viboko mfano 12 wakat wa kuingia na 12 wakati wa kutoka kinacho fanyika kwanza hawakupigi Hadi uende kwa daktari upimwe afya athibitishe kuwa ni mzima wa afya na kwamba unaweza kumudu viboko baada ya hapo ndo unatembezewa kichapo

hizo 12 ni sawa na 24 maana inahesabiwa 2 ni moja alaf unaweza ukapigwa leo 4 kesho 4 keshokutwa 4 Mara nyingi hawapigi zote kwa siku 1 ila upigaji wake ni wa kimafya siyo kama stail za shule kule utakutana na stail za kibabe
Mkuu haujakata kiu cha swali langu.
Hapo umeeleza namna ya ukung'utaji wake tu.

Ninachotaka kuelewa, pamoja na process hizo za kupimwa na nini sijui, mboko zinatembezwa siku ya ngapi tangu utinge jela kuanza kutumikia adhabu?

Nikatolea mfano wa Sabaya ambaye alifungwa na kukata rufaa, je alishapigwa tayari hata kabla ya mchakato wake wa rufaa haujasikilizwa, au inakuwakuwaje hapo?
 
Back
Top Bottom