Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

Gerezani ni sehemu ngumu sana na isiyoelezeka kwa mambo yaliyopo kule ili kupunguza makali ya gerezani unaweza fanya haya mambo.

1-Mfungwa hachagui gereza ni kweli ila unaeza kuchagua gereza wengi wanapohukumiwa huingia gerezani hapa unaeza kutambua gereza ulilopo ni la kilimo au vipi kama ni la kilimo fanya juu chini wewe na ndugu zako uhamishwe hapa ni wewe kusuka mipango na mabwana wakubwa toa fungu ndugu yangu utafia shambani. Bora ukae gereza la mjini huku kazi ni ndogo ndogo magereza ya kilimo ni mateso kazi ni ngumu vifaa butu askari wakali nyapara hawana huruma mbele bunduki nyuma fimbo.

2-Hela ya kula. Gerezani mlo ni mmoja saa nane achana na uji mlo wa gerezani ni kukufanya usife njaa ila sio mlo wa kula mwanadamu wakuu sasa hapa unaweza kuacha hela kwa mapai kwa mwez ukawa unapata msosi kutoka kwa wake za wadau wa pale ongea na ndugu zako angalau waache laki kwa mwezi kama inawezekana usijepata vidonda vya tumbo.

3-Nidhamu. Gerezani nidhamu unafundishwa kwa lazima ila watu sugu wapo pia epuka makundi gerezani utapata shida sana kuna wafugwa wao ni watata labda kuzaliwa au makabila kuna mfugwa alikua ni Mmasai kabila huyu alikua si mwelewa anaeza akaanza kkushambulia muda wowote kutokana na msongo wa mawazo na namba aliyokula kutoka ni 2035 watu kama hawa usijenge urafiki nao akili hua zinafyatuka.

4-Uongozi. Hapa namaanisha upate kitengo kizuri jikoni hua ni ngumu ila unaweza kupata uongozi wa kuongoza wenzako mnapokua kazini simaanishi uwe nyapara hapana unyapara unapewa kwa kuangalia muda uliokaa gerezani na nidhamu yako, hapa nazungumzia kusimamia genge mnapokua kazini kumbuka gerezani kazi ni nyingi na watu ni wengi muhimu ni wewe upatee nafasi ya kuwasimamia vinginevyo mikono itaota sugu na ngozi itapigwa jua kama la mbarali.

5- Marafiki. Anzisha urafiki na askari gereza ambaye labda ni kabila lako lafudhi hazipotei utaweza kumgundua huyu atakusaidia utakapokua mgonjwa au kwenye mambo mengine madogomadogo, askari mara nyingi hua wakali sana ila hamna mwanadamu anayekosa chembe chembe ya huruma atakusaidia kwa kujua huyu ni wa nyumbani. Pia kuna viongozi wa dini ambao ni wafugwa pia hawa watakusaidia kiroho na kukushauri ni watu muhimu pia.

6-Punguza mawazo. Hamna jambo gumu kama kuishi mbali na familia baba,mama,dada,kaka,mke na watoto utakua unawaza sana kuhusu maisha yao na pengo lako jipe moyo sana na jione bado wewe ni mtu kwenye jamiii. Unapokua na kifungo cha chini ya miaka30 ina maana bado una nafasi ya siku moja kutoka gerezani na kuendelea na maisha yako kma zamani usiangalie mwaka utakao toka utakata tamaa wewe amini tyu nitatoka siku si

7-Jifanyie usafi, linda afya yako. Ngozi yako epuka kushare share baadhi ya vitu unapokua kule ndani namaanisha sabuni na vitu vingine unavyokua navyo kwa siri. Jipende usijisuse ni hali ya muda soon utarudi ulaya(uraiani)

8- Usipende kudadisi wenzako mambo yao au kesi zao acha wao wakuambie vinginevyo wewe pambana na yako,wakili wako endelea kua na mawasiliano nae kupitia ndugu zako kuandaa mikakati ya rufaa na mambo mengine.

N:b. Ni haya machache wadau najua mna mengi karibuni tuendelee kupeana uzoefu na mbinu kwa waliokaa na ambao hawajakaa kila mtu ni mfugwa mtarajiwa tumekaa tumetokaa huenda tukarudi WHO KNOWS!!
Hiyo ya 'Kila mtu ni mfungwa mtarajiwa' sikubaliani nayo. Siwazii kujikuta gerezani siku moja kwa kuwa sivunji sheria yo yote. Labda kama itatokea askari wanapitapita majumbani mwa watu na kukusanya watu kuwapeleka gerezani.
 
Jela ni kama hospital Hakuna aombaye kuwa huko
 
kuna Gereza la Ushora pia ni gereza kubwa sana Mkoani singida nalo ni Gereza la kilimo aisee mimi kwetu ni jirani tu na hilo gereza ni kama vijiji 4/5 kutoka Gerezani aisee huwa nawashuhudia kwa macho yangu kule kusikie tu, wakuu watu wana piga kazi kule kunatisha. [emoji848]
 
Jela ni kama hospital Hakuna aombaye kuwa huko
Hospitali unakwenda kwa kupatwa na janga ambalo haliko kwenye uwezo wako. Jela unakwenda kwa kufanya kosa 'kwa kukusudia ukiwa na akili yako timamu'. Hiyo ndiyo sitegemei kufanya. Unaweza kuua jambazi lililokuja kutaka kukuibia usiku. Japo kuua ni kosa la jinai, mazingira uliyofanyia kitendo hicho yanakuruhusu kujilinda wewe na mali yako. Hivyo hutakwenda jela. Lakini hilo jambazi likikuua katika juhudi za kukuibia hapo ndipo linastahili kwenda jela, kama si kunyongwa kabisa.
 
Wapo wengi tu jela kwa kuhisiwa/kufananishwa na sio kwa kutenda.Mifano hai ni mingi.
 
Hospitali unakwenda kwa kupatwa na janga ambalo haliko kwenye uwezo wako. Jela unakwenda kwa kufanya kosa 'kwa kukusudia ukiwa na akili yako timamu'. Hiyo ndiyo sitegemei kufanya. Unaweza kuua jambazi lililokuja kutaka kukuibia usiku. Japo kuua ni kosa la jinai, mazingira uliyofanyia kitendo hicho yanakuruhusu kujilinda wewe na mali yako. Hivyo hutakwenda jela. Lakini hilo jambazi likikuua katika juhudi za kukuibia hapo ndipo linastahili kwenda jela, kama si kunyongwa kabisa.
Hili mkuu umeliongea kidhamira zaidi, lakini si kiuhalisia.

Haujasikia watu kubambikiwa kesi na kisha kutiwa hatiani?

Aliyelinganisha mfano wa jela na hospital, saazingine mtu kushitukia tu umepelekwa, yuko sahihi zaidi.
 
Duuh nianze kwenda na kanisani kabisa kumbe ni hell kabsa huko
 
Hospitali unakwenda kwa kupatwa na janga ambalo haliko kwenye uwezo wako. Jela unakwenda kwa kufanya kosa 'kwa kukusudia ukiwa na akili yako timamu'. Hiyo ndiyo sitegemei kufanya. Unaweza kuua jambazi lililokuja kutaka kukuibia usiku. Japo kuua ni kosa la jinai, mazingira uliyofanyia kitendo hicho yanakuruhusu kujilinda wewe na mali yako. Hivyo hutakwenda jela. Lakini hilo jambazi likikuua katika juhudi za kukuibia hapo ndipo linastahili kwenda jela, kama si kunyongwa kabisa.
Wanaokwenda jela sio wote wenyewe hatia...
 
Jipe dakika ishirini tu, tafuta uzi wa kesi ya Mbowe na wenzake. Soma vizuri, alafu tuone kama hautarudi hapa kufuta comment yako!
 
Hospitali unakwenda kwa kupatwa na janga ambalo haliko kwenye uwezo wako. Jela unakwenda kwa kufanya kosa 'kwa kukusudia ukiwa na akili yako timamu'. Hiyo ndiyo sitegemei kufanya. Unaweza kuua jambazi lililokuja kutaka kukuibia usiku. Japo kuua ni kosa la jinai, mazingira uliyofanyia kitendo hicho yanakuruhusu kujilinda wewe na mali yako. Hivyo hutakwenda jela. Lakini hilo jambazi likikuua katika juhudi za kukuibia hapo ndipo linastahili kwenda jela, kama si kunyongwa kabisa.
Mkuu jela unaweza kuingia kivyovyote tu iwe umetenda au umetendwa usijihakikishie kuto kwenda.

Ntakupa mfano mdogo kama ni mkristu utakubali kuwa Johana mbatizaji alifungwa jela, Paulo mtume hivyo hivyo, Sila naye kubwa kuliko Yesu kristu ni vile agano lilitakiwa kutimia la sivyo angekaa jela.

Kwa mifano hiyo michache usijipe hakikisho
 
Unatoka nduki kukimbilia wapi? Umeshaambiwa ukiwa mtii na kuacha fujo utaishi. Kutoroka ni Trial and Error - unaweza kufeli jaribio hilo au kuzua jambo baya zaidi kwako hata kilema cha maisha. (kama ukifa in action basi utakuwa umefanikisha lengo).
Yaani umeongea ki-raia sana. Ngoja ikitokea bahati umefika huko ukajaribu.[emoji24]
Huwa sikoment chochote, ila kwa hili wewe raia unajua kuandika lugha imenyooka sana, elimu yako imeku upgrade.
 
Hiyo ya 'Kila mtu ni mfungwa mtarajiwa' sikubaliani nayo. Siwazii kujikuta gerezani siku moja kwa kuwa sivunji sheria yo yote. Labda kama itatokea askari wanapitapita majumbani mwa watu na kukusanya watu kuwapeleka gerezani.
Usiseme hivyo mkuu sio kila aliye jela alivunja sheria
 
Hospitali unakwenda kwa kupatwa na janga ambalo haliko kwenye uwezo wako. Jela unakwenda kwa kufanya kosa 'kwa kukusudia ukiwa na akili yako timamu'. Hiyo ndiyo sitegemei kufanya. Unaweza kuua jambazi lililokuja kutaka kukuibia usiku. Japo kuua ni kosa la jinai, mazingira uliyofanyia kitendo hicho yanakuruhusu kujilinda wewe na mali yako. Hivyo hutakwenda jela. Lakini hilo jambazi likikuua katika juhudi za kukuibia hapo ndipo linastahili kwenda jela, kama si kunyongwa kabisa.
Mkuu kunawengne wanaingia kwa bahati mbaya na wengne kwa kusingiziwa
Anyway tuombe Mungu tusijekutana na haya madhila weng wetu hatujui hali halisi ya magereza ila kunyimwa uhuru kunatosha kummaliza mtu mwili na akili
 
Hospitali unakwenda kwa kupatwa na janga ambalo haliko kwenye uwezo wako. Jela unakwenda kwa kufanya kosa 'kwa kukusudia ukiwa na akili yako timamu'. Hiyo ndiyo sitegemei kufanya. Unaweza kuua jambazi lililokuja kutaka kukuibia usiku. Japo kuua ni kosa la jinai, mazingira uliyofanyia kitendo hicho yanakuruhusu kujilinda wewe na mali yako. Hivyo hutakwenda jela. Lakini hilo jambazi likikuua katika juhudi za kukuibia hapo ndipo linastahili kwenda jela, kama si kunyongwa kabisa.
Jela ni ya wote. Usiseme kabisa hii kauli kwani siku ukienda utachanganyikiwa.
 
Wajameni nyie acheni tu!! JKT ya Nyerere je? achana na ya Mwinyi hii ya juzijuzi tu!...yaani ni usiombe kuingia huko eti kwa mujibu wa sheria..mwee!! kukimbia kila siku iendayo kwa Mungu kisa Ukaka mavu!

CHakula kikija panga foleni tu!! hakuna cha kusema sina Bakuri wala sahani utajua weye!! km vepe umeshiba pisha wengine tena faster!! sasa weye jifanye Lugumya uone moto wake!

utabebwa juu kwa juu unapigwa karinye karinye mpaka akili ikukae sawa.......mlioenda Opp. programme ya chama mnalijua hili fika! sitanii!!...Afande Mandevu, Magwega wa chiguru, Afande sipi, Sanga wewee wasikiege tu!

Sasa pote maboya kwenye Gwaride ujifange Nanga utalijua Jeshi la JKT!...jifanye utoroke uone moto wa kila rangi!! labda wende Mazimaaa!...wana rupango zao za kijeshi hapo lazima uyambe kifukuto kila siku dakika 45 unapigwa Drill!!

Jiwe msimuone vile alikuwa Nanga kweli!.......kuna kila aina ya miendo kule! Mfano mwendo wa kunyakua, kukwepa ndege, afande kajamba....nk sasa km ivo< si mleta mada ungekimbia weye??

Magereza kule ni nafuu kuna wstu wazima wengine wakubwa km kina Mbowe! lkn JKT wooote vijana aseee!!....sasa usiombe uwende mafunzo yakivita yaani ukiwa lele mama unakufa au kuwa kilema kabisaa!!

Mnapo chaji afande wanakuja na viboko vya ngozi wana chapa ili ukimbie mstari wa mbele ..mkifika huko mnako tarajia usiku mnaanza kuchimba maandaki tena faster! wawili wawili !!

kuna jamaa moja Dr Ndaro Essaba, yuko Arusha, yeye bana alijipa kaugonjwa kakudumu kila siku kamkono kamepinda amefunga pop tuuu!! hkn aliye jua ni Dr yule jamaa!

pale kila siku unaamka saa kumi, unaanza kunyakua tena amsha amsha yeynyewe unaweza kucheka lkn ita kuumiza!! ..afande anafanya hivi ''anachukua kajiwe anatupa kwenye bati ''taaa'' kazi kwako!

Hapo haijalishi ni siku kuu!! wala cha weekend Tatizo la mleta Mada hajapitia kote huku akaona mambo yalivyo ndo maana ameandika hapa!!...na hapo huja chaguliwa kwenda afisa Cadet!! huko inabaki siri!

Unashangaa kujaza lori mchanga kuruta?? yaani Mali ya Jeshi ichafuke kuruta uko hapo?? wewe ndo utakuwa lori! tena dakika sifuri mchanga umejaa! Na ujenzi unaanza palepale! kule walikuwa wanenda kwa malengo tu!

tatizo lenu mlikimbia jeshini ndo matokeo yake haya!! kuna wale wadogo ambao hawakulikuta tuna wasamehe!! lkn kwa wale mlio enda kwa mujibu wa sheria weee!! mnajua fika!! kina Mataka ni meneja siku hizi uwanja wa ndege!

Hapo bado zileee!! shule za Bure za Mwalimu Nyerere jamani weee!! form one unaitwa Nyoya, nyumbu, mgogo nk!! hasa waliko kuwa wamejaa wakurya kulee kanda ya ziwa!! hapo vilikuwa ni vituo vidogo vya ki-jeshi jamani mwee!!

japo kwa nje utakiona poa!! kifo ukilema ni nje nje!! ..kusoma ilikuwa km unaenda vitani sasa mpaka uje uzoee mazingira e bana weee!!...na wakati wa Mwinyi mabo yalianza kupoa sana lkn huko nyuma weee!
 
Kutanguliza nguo ya chuma kabla ya suruali
 
Gerezani ni sehemu ngumu sana na isiyoelezeka kwa mambo yaliyopo kule ili kupunguza makali ya gerezani unaweza fanya haya mambo.

1-Mfungwa hachagui gereza ni kweli ila unaeza kuchagua gereza wengi wanapohukumiwa huingia gerezani hapa unaeza kutambua gereza ulilopo ni la kilimo au vipi kama ni la kilimo fanya juu chini wewe na ndugu zako uhamishwe hapa ni wewe kusuka mipango na mabwana wakubwa toa fungu ndugu yangu utafia shambani. Bora ukae gereza la mjini huku kazi ni ndogo ndogo magereza ya kilimo ni mateso kazi ni ngumu vifaa butu askari wakali nyapara hawana huruma mbele bunduki nyuma fimbo.

2-Hela ya kula. Gerezani mlo ni mmoja saa nane achana na uji mlo wa gerezani ni kukufanya usife njaa ila sio mlo wa kula mwanadamu wakuu sasa hapa unaweza kuacha hela kwa mapai kwa mwez ukawa unapata msosi kutoka kwa wake za wadau wa pale ongea na ndugu zako angalau waache laki kwa mwezi kama inawezekana usijepata vidonda vya tumbo.

3-Nidhamu. Gerezani nidhamu unafundishwa kwa lazima ila watu sugu wapo pia epuka makundi gerezani utapata shida sana kuna wafugwa wao ni watata labda kuzaliwa au makabila kuna mfugwa alikua ni Mmasai kabila huyu alikua si mwelewa anaeza akaanza kkushambulia muda wowote kutokana na msongo wa mawazo na namba aliyokula kutoka ni 2035 watu kama hawa usijenge urafiki nao akili hua zinafyatuka.

4-Uongozi. Hapa namaanisha upate kitengo kizuri jikoni hua ni ngumu ila unaweza kupata uongozi wa kuongoza wenzako mnapokua kazini simaanishi uwe nyapara hapana unyapara unapewa kwa kuangalia muda uliokaa gerezani na nidhamu yako, hapa nazungumzia kusimamia genge mnapokua kazini kumbuka gerezani kazi ni nyingi na watu ni wengi muhimu ni wewe upatee nafasi ya kuwasimamia vinginevyo mikono itaota sugu na ngozi itapigwa jua kama la mbarali.

5- Marafiki. Anzisha urafiki na askari gereza ambaye labda ni kabila lako lafudhi hazipotei utaweza kumgundua huyu atakusaidia utakapokua mgonjwa au kwenye mambo mengine madogomadogo, askari mara nyingi hua wakali sana ila hamna mwanadamu anayekosa chembe chembe ya huruma atakusaidia kwa kujua huyu ni wa nyumbani. Pia kuna viongozi wa dini ambao ni wafugwa pia hawa watakusaidia kiroho na kukushauri ni watu muhimu pia.

6-Punguza mawazo. Hamna jambo gumu kama kuishi mbali na familia baba,mama,dada,kaka,mke na watoto utakua unawaza sana kuhusu maisha yao na pengo lako jipe moyo sana na jione bado wewe ni mtu kwenye jamiii. Unapokua na kifungo cha chini ya miaka30 ina maana bado una nafasi ya siku moja kutoka gerezani na kuendelea na maisha yako kma zamani usiangalie mwaka utakao toka utakata tamaa wewe amini tyu nitatoka siku si

7-Jifanyie usafi, linda afya yako. Ngozi yako epuka kushare share baadhi ya vitu unapokua kule ndani namaanisha sabuni na vitu vingine unavyokua navyo kwa siri. Jipende usijisuse ni hali ya muda soon utarudi ulaya(uraiani)

8- Usipende kudadisi wenzako
mambo yao au kesi zao acha wao wakuambie vinginevyo wewe pambana na yako,wakili wako endelea kua na mawasiliano nae kupitia ndugu zako kuandaa mikakati ya rufaa na mambo mengine.

N:b. Ni haya machache wadau najua mna mengi karibuni tuendelee kupeana uzoefu na mbinu kwa waliokaa na ambao hawajakaa kila mtu ni mfugwa mtarajiwa tumekaa tumetokaa huenda tukarudi WHO KNOWS!!
Halo
Hongera kwa moyo wa kujitoa namna hii. Ni wachache sana wanafanya hayo ulofanya. Wengi wanataka kila mmoja akajionee mwenyewe!
Ubarikiwe sana
 
Wajameni nyie acheni tu!! JKT ya Nyerere je? achana na ya Mwinyi hii ya juzijuzi tu!...yaani ni usiombe kuingia huko eti kwa mujibu wa sheria..mwee!! kukimbia kila siku iendayo kwa Mungu kisa Ukaka mavu!

CHakula kikija panga foleni tu!! hakuna cha kusema sina Bakuri wala sahani utajua weye!! km vepe umeshiba pisha wengine tena faster!! sasa weye jifanye Lugumya uone moto wake!

utabebwa juu kwa juu unapigwa karinye karinye mpaka akili ikukae sawa.......mlioenda Opp. programme ya chama mnalijua hili fika! sitanii!!...Afande Mandevu, Magwega wa chiguru, Afande sipi, Sanga wewee wasikiege tu!

Sasa pote maboya kwenye Gwaride ujifange Nanga utalijua Jeshi la JKT!...jifanye utoroke uone moto wa kila rangi!! labda wende Mazimaaa!...wana rupango zao za kijeshi hapo lazima uyambe kifukuto kila siku dakika 45 unapigwa Drill!!

Jiwe msimuone vile alikuwa Nanga kweli!.......kuna kila aina ya miendo kule! Mfano mwendo wa kunyakua, kukwepa ndege, afande kajamba....nk sasa km ivo< si mleta mada ungekimbia weye??

Magereza kule ni nafuu kuna wstu wazima wengine wakubwa km kina Mbowe! lkn JKT wooote vijana aseee!!....sasa usiombe uwende mafunzo yakivita yaani ukiwa lele mama unakufa au kuwa kilema kabisaa!!

Mnapo chaji afande wanakuja na viboko vya ngozi wana chapa ili ukimbie mstari wa mbele ..mkifika huko mnako tarajia usiku mnaanza kuchimba maandaki tena faster! wawili wawili !!

kuna jamaa moja Dr Ndaro Essaba, yuko Arusha, yeye bana alijipa kaugonjwa kakudumu kila siku kamkono kamepinda amefunga pop tuuu!! hkn aliye jua ni Dr yule jamaa!

pale kila siku unaamka saa kumi, unaanza kunyakua tena amsha amsha yeynyewe unaweza kucheka lkn ita kuumiza!! ..afande anafanya hivi ''anachukua kajiwe anatupa kwenye bati ''taaa'' kazi kwako!

Hapo haijalishi ni siku kuu!! wala cha weekend Tatizo la mleta Mada hajapitia kote huku akaona mambo yalivyo ndo maana ameandika hapa!!...na hapo huja chaguliwa kwenda afisa Cadet!! huko inabaki siri!

Unashangaa kujaza lori mchanga kuruta?? yaani Mali ya Jeshi ichafuke kuruta uko hapo?? wewe ndo utakuwa lori! tena dakika sifuri mchanga umejaa! Na ujenzi unaanza palepale! kule walikuwa wanenda kwa malengo tu!

tatizo lenu mlikimbia jeshini ndo matokeo yake haya!! kuna wale wadogo ambao hawakulikuta tuna wasamehe!! lkn kwa wale mlio enda kwa mujibu wa sheria weee!! mnajua fika!! kina Mataka ni meneja siku hizi uwanja wa ndege!

Hapo bado zileee!! shule za Bure za Mwalimu Nyerere jamani weee!! form one unaitwa Nyoya, nyumbu, mgogo nk!! hasa waliko kuwa wamejaa wakurya kulee kanda ya ziwa!! hapo vilikuwa ni vituo vidogo vya ki-jeshi jamani mwee!!

japo kwa nje utakiona poa!! kifo ukilema ni nje nje!! ..kusoma ilikuwa km unaenda vitani sasa mpaka uje uzoee mazingira e bana weee!!...na wakati wa Mwinyi mabo yalianza kupoa sana lkn huko nyuma weee!
ni kweli lakini hapa tunaongelea issue za gerezaani
sio jkt......

issue za jkt anzisha uzi wako
 
Ni kweli kabisa uko sahihi!! Issue za gerezani umezikuza sana wala si za kututisha kiivo!! watu tuogope! Mgereza yapo ajili yetu, tutashindwa kujaribu mbinu za maisha kwa kuogopa sheria na sheria zipo ili zivunjwee!! tufungwe!

wazo lako la kututishia Magereza siyo innovative! Kwa kuwa weye si mkakamavu, ni mtoto wa mama hujapitia karinye karinye!! ajili ya uzembe...kusema nianzishe uzi wa jkt zipo nyingi tu humu! sema weye ni mzembe kusoma!!

Magereza yapo kwa ajili yetu sisi ''watu! hatuna sababu ya kuyaogopa! aende nani sasa? nyau au!! Nyerere na ujanja wake wote alifungwa na Mkoloni! LKN HAKUKOMA!!

Kidume Mandela huyo alikomaa wazi wazi! akawaambia ...''Mkiona vipi niueni lkn siachi" huyo hapo tunamuheshimu

'Dedan kimath. edward Mondlane 'Steve Bikko nk waliuawa kinyama gerezani huko ili tuogope lkn hatukukoma Africa nzima tuna wa heshimu vizazi na vizazi! walikufa ili tuwe Huru!

na hatukomi, wewe historia haikukufundisha kitu ndo! kosa la shule za st. kayumba! na matokeo mazuri ya walimu wa UPE!...na watu walio fundishwa na waalimu wa UPE wanaogopa hata jongoo!

Ma idealistic wote Duniani! tena tokea familia bora sana, walipata Elimu Bora, tangia nyumbani kwao, na wengi wana Damu ya kitemi! sina haja ya kuwataja hapa, hao walifungwa jela.

wengine wakafia huko, baadhi wakarudi kuendeleza mapambano lengo lao lilikuwa sisi weusi na wa chini muwe huru na Bora! huu uzi wako bora ufute tu kwa sababu unawasaidia sana watawala dhalimu, waoga!

wewe ni nani mla vihepe vya Mbagala? usifungwe jela?? huna damu ya u-chief weye! hiyo ni damu mkoloni aliita ya kabwela! ebu fikiria Mtemi Mkwawa aliona Bora afe kuliko kufungwa na hao! we nani uogope kufungwa!

Huu uzi wako unge huamishia jukwaa la waoga! waoga vilaza! siyo sisis wakaka mavu tulio pitia karinye karinye za jeshini!! tuko kivingine kabisa brooo!! sijui utanishawishi vipi nikuelewe! ila weye ni selure hasa!!

Mtu km weye jeshini unapigwa cha moto faster! na wasaidizi wako kwakuwa u muoga utasababisha Battalion nzima kuogopa! ogopa ivo kuhatarisha ushindi!
 
Back
Top Bottom