Kulingana na evolution Kutoka level moja ya simplicity kwenda nyingine complex viumbe waliojitokeza katika hiyo level walikuwa mbalimbali, wengi na walitofautiana kiasi fulani.Mi nilivokua najua evolution maana yake from simple to complex
Yaani alitoka kuwa homo eructus aka develop na kuwa sapiens...
Au wali exist kwa pamoja .?
Aaah sawa sawa lakini vipi ishu ya survive for fittest.... ?Kulingana na evolution Kutoka level moja ya simplicity kwenda nyingine complex viumbe waliojitokeza katika hiyo level walikuwa mbalimbali, wengi na walitofautiana kiasi fulani.
Wansayansi wamegawanyika kuhusu Homo Erectus, wapo wenye mtazamo alikuwa ancestor wa binadamu, wengine wana mtazamo ilikuwa specie tofauti inayojitegemea.
Ila evolution ya huyu mwamba kama ina shida hvi...Ndio sisi Homo Sapiens tume survive mpaka sasa kati ya species zaidi ya 9 ambao walikuwa ndugu zetu wa karibu.
Evolution bado inaendelea kulingana na mazingira, mfano kuishi milimani kwa muda mrefu kwa baadhi ya jamii za watu kunafanya mfumo wa upumuaji kuwa tofauti na wengine. Kuna baadhi ya watu hawaoti meno ya magego tena, uwezo wa baadhi ya jamii mbalimbali za watu kupambana na magonjwa unazidi kuongezeka na kuna muda itafikia watakuwa resistance kabisa kwa magonjwa mengi, ubongo wa binadamu unazidi kupungua ukubwa wake, binadamu anazidi kuishi miaka mingi zaidi n.kIla evolution ya huyu mwamba kama ina shida hvi...
Japo ni nje ya mada mkuu.
Unavozani hiyo gradual change bado inaendelea kwetu au..?
Hiyo ya watu wa milimani kubadilika kwa mfumo wao wa upumuaji ni temporary change au permanent change...??Evolution bado inaendelea kulingana na mazingira, mfano kuishi milimani kwa muda mrefu kwa baadhi ya jamii za watu kunafanya mfumo wa upumuaji kuwa tofauti na wengine. Kuna baadhi ya watu hawaoti meno ya magego tena, uwezo wa baadhi ya jamii mbalimbali za watu kupambana na magonjwa unazidi kuongezeka na kuna muda itafikia watakuwa resistance kabisa kwa magonjwa mengi, ubongo wa binadamu unazidi kupungua ukubwa wake, binadamu anazidi kuishi miaka mingi zaidi n.k
Mkuu kwanza kabisa unapaswa kujua maana ya EVOLUTIONKulingana na evolution inasemekana kulikuwepo na jamii(species) zaidi ya tisa za binadamu ambapo kufikia miaka elfu arobaini iliyopita nane zilitoweka kwa sababu mbalimbali na hatimaye ikabaki moja tu iliyo survive ambayo ni ya kwetu ya Homo Sapiens,
Sasa wangekuwepo akina Homo Neanderthals , Homo Erectus, Denisovans n.k dunia si ingekuwa ya moto sana maana kama hii specie moja tu ya kwetu ya Homo Sapiens mtifuano wake ni mkubwa hivi yenyewe kwa yenyewe vipi zingekuwepo species nyingine 8!