INAUZWA Zipate mashine za lambalamba au Popsicle's

Uzalishaji kibiashara kwa kumiliki lambalamba
 
Mashine za lamba lamba kwa million tatu tu ikitoa piece 40 kwa Dakika 15 tu
 
Hizooo
FB_IMG_1597089255394.jpeg
FB_IMG_1597089078129.jpeg
 
Magomeni unapata mashine ya lamba lamba kwa milion moja na laki tano anaetaka anichek dm nimuekekeze pa kwenda akanunue kwa bei ya 1.5m muache kuwapiga watu na bei za juu, mara mashine ya corn milion 3, mara lamba lamba mashine milion 3 du
Tukiwa tayari nitakutafuta mkuu..
 
m
Magomeni unapata mashine ya lamba lamba kwa milion moja na laki tano anaetaka anichek dm nimuekekeze pa kwenda akanunue kwa bei ya 1.5m muache kuwapiga watu na bei za juu, mara mashine ya corn milion 3, mara lamba lamba mashine milion 3 du
kuu mi nahitaji, hiyo mashine, naomba connection nikachek
 
Back
Top Bottom