INAUZWA Zipate mashine za lambalamba au Popsicle's

INAUZWA Zipate mashine za lambalamba au Popsicle's

Pata mashine na ushauri
Jamaa yangu Mimi ninamashine mpyaaaa! Ila tatizo sijajua kutengeneza profitable juice ili nikifyatua niuze 100 kwenye mikusanyiko. Kila nikigoogle vinakuja mala maziwa Mara parachichi kweli? Nitengeneze kwa maziwa niuze sh 100
 
Pole sana ndugu zile sh 100 kuna namna ya utengenezaji ukitaka za maziwa kweli zitakuumiza nikushauri tengeneza kutokana na soko lako

Wapo wengine huuza mpaka elfu mbili kila kopo
 
Najidakia online store wanatoa service ifuatayo

mashine ya kutengeneza lambalamba yenye uwezo mkubwa piece 200 kwa pamoja ndani ya dakika 25-35 tayari ni kwa kibiashara kweli kweli tunaitengeneza hapa hapa gharama yake million tano tu

Pia zipo za kutoka China kwa wapenzi wa hizi mashine zipo uwezo tofauti tray moja 3m
Na tray mbili 4m
Tray tatu 5m
Kwa sasa zimebaki tano tu karibuni

0659567058
Mashine zote zinazouzwa chini yetu najidakia store ni imara na bora
View attachment 1020319View attachment 1020321View attachment 1020322View attachment 1020323

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi mashine ni nzuri sana lakini bei zake ndio zitanifanya nibaki nyuma
 
Pole sana ndugu zile sh 100 kuna namna ya utengenezaji ukitaka za maziwa kweli zitakuumiza nikushauri tengeneza kutokana na soko lako

Wapo wengine huuza mpaka elfu mbili kila kopo
Nimefanikiwa kwa asilimia 100 na sasa nimekuwa mwalimu nasaidia watu Tz nzima. Chostic zinalipa asikuambie mtu
 
Nimefanikiwa kwa asilimia 100 na sasa nimekuwa mwalimu nasaidia watu Tz nzima. Chostic zinalipa asikuambie mtu
Mashine walete kwetu maana kuna wengine hugandisha kwa kutumia friji za majumbani huyo faida hataona
 
Back
Top Bottom