INAUZWA Zipate mashine za lambalamba au Popsicle's

Pata mashine na ushauri
Jamaa yangu Mimi ninamashine mpyaaaa! Ila tatizo sijajua kutengeneza profitable juice ili nikifyatua niuze 100 kwenye mikusanyiko. Kila nikigoogle vinakuja mala maziwa Mara parachichi kweli? Nitengeneze kwa maziwa niuze sh 100
 
Pole sana ndugu zile sh 100 kuna namna ya utengenezaji ukitaka za maziwa kweli zitakuumiza nikushauri tengeneza kutokana na soko lako

Wapo wengine huuza mpaka elfu mbili kila kopo
 
Hizi mashine ni nzuri sana lakini bei zake ndio zitanifanya nibaki nyuma
 
Pole sana ndugu zile sh 100 kuna namna ya utengenezaji ukitaka za maziwa kweli zitakuumiza nikushauri tengeneza kutokana na soko lako

Wapo wengine huuza mpaka elfu mbili kila kopo
Nimefanikiwa kwa asilimia 100 na sasa nimekuwa mwalimu nasaidia watu Tz nzima. Chostic zinalipa asikuambie mtu
 
Mashine walete kwetu maana kuna wengine hugandisha kwa kutumia friji za majumbani huyo faida hataona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…