Zipi ni alama za kuwa umefanikiwa kimaisha?

Mafanikio hayana definition ndo maana hapa kila MTU anakuwa subjective anatoa mtazamo wake


Usi-question utaharibu mada.

Wenzako wamezungumzia kiuchumi wengine kijamii sasa umezungumzia kiroho

Na ukizungumzia kiroho unakuwa upo subjective
Hauwezi kutenganisha mafanikio na mhusika wa mafanikio yenyewe ambaye ni binadamu( mwenye Mwili, Nafsi na Roho)
 
Mafanikio hayana definition ndo maana hapa kila MTU anakuwa subjective anatoa mtazamo wake


Usi-question utaharibu mada.

Wenzako wamezungumzia kiuchumi wengine kijamii sasa umezungumzia kiroho

Na ukizungumzia kiroho unakuwa upo subjective
Hauwezi kutenganisha mafanikio na mhusika wa mafanikio yenyewe ambaye ni binadamu( mwenye Mwili, Nafsi na Roho)
 
Kutimiza ndoto zako, ama kupata yale uliyokuwa ukitarajia ndio mafanikio.

Kufanikiwa kimaisha kila mtu ana tafsiri yake kutokana na mazingira aliyopo pamoja na matarajio yake binafsi mfano jamii za watu waishio vijijini sana sidhani kama wanawaza kuwa na gari, nyumba ya kifahari ndio mafanikio.

Kwa mtazamo wangu tu.
 
This is fraud mafanikio hayana maana, it's a state of mind. Huwezi nambia watu wote mpk wafanye hayo sjui kuajili watu wengine has nothing to do with other people, ni jinsi mtu anavyo hisi ndani ya moyo wake, kuna watu wamefanya hayo yote lakini wakajihisi they're meaningless. Kama ni mtazamo wako sawa pia. Mm naona hizo zote zinaingia kwenye development. Ila success is a state of mind
 
Hata freemason na watoa kafara wenye vipato na matajiri wanalisha familia mwaka mzima bila kutetereka

Hata wanasiasa mafisadi na wezi wanafamilia zenye amani na upendo (kwa sababu ya pesa) mf. Nape
Msingi wa familia yenye Amani na upendo ni
  • Malezi yenye kuhimiza heshima baina ya wanafamilia
  • Kuwa na hofu ya Mungu
  • Kuhimiza ushikamano baina ya wanafamilia
Kuna sie tuliotoka familia za kimaskini, lakini Amani na upendo vilitawala...
 


Soma uelewe kwanza nilichoandika

Nimepigia hadi mstari kuwa huu ni mtazamo wangu lakini unanibishia ktk mtazamo wangu. learn to read between the lines.
 
Kibongobongo mafanikio ni kuwa na maisha mazuri kuzidi wengine katika ngazi ya mtaa, kijiji, mji hadi kitaifa. Utasikia fulani siku izi kafanikiwa kisa tu umeingia na kigari cha boss apo kijijini kwenu

Ila mafanikio halisi ni kutimiza ndoto au malengo uliojiwekea, hapa utakuta binadamu hawezi kufanikiwa hadi anakufa maana akifanikiwa hiki anawaza kile mfano wengi walikuwa na ndoto za kufika chuo kikuu wakafanikiwa lakini bado hawana ajira kwaiyo malengo yamehama kutoka chuo kikuu hadi ajira

Product ya mafanikio ni maendeleo yaani ukifanikisha lengo lako ndio maendeleo yako.
 
Yote hayo yana maana gani kama hauna mguu mmoja, hauna uwezo wa kuzaa, una masharti ya kafara n.k? Ukipewa sharti la kuhasiwa haumdhuru mtu wala kuvunja sheria ila nafsi yako haijafanikiwa
Mkuu elewa maana ya sentensi "kufanya chochote unachotaka", hao watu wenye hayo matatizo hawawezi kufanya chochote wanachotaka, by the way kumbe na wewe ni kati ya wale mnaoamini katika utajiri wa makafara sijui na matakataka gani
 
Mafanikio ni pale unapoweza kutatua au kumudu gharama za maisha bila ya kuamja asubuhi na kwenda kufanya kazi, yani hata ukiwa kitandani familia yako itaendelea kuishi vizuri
 
Nikiweza kuwa mcha Mungu kwa imani yangu basi nshatoboa
 
Kutotegemea serikali

Hata serikali iweke mafuta ef sita wewe unanua na huwazi chochote

Yaani unakua na serikali yako
 
Unajiweza katika vitu muhimu katika maisha, malazi, chakula na mavazi. Kipato chako kwa siku kisishuke,bali kiongezeka. Hayo ndio maisha ya raha kwangu, mengine yote ni ziada.
 
Nikipanda basi kwenda mkoani nawaona wote walio nje ya basi ni mafala tu na mie nimefanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…