Zipi ni Hasara za kutumia mashine za EFD kwa mfanyabiashara?

Wabongo hawa wanachoogopa ni kufanya mauzo yatayowaingiza kwenye mfumo wa VAT
Ukifanya mauzo ukaingia kwenye vat mzee baba kwa tz hii wafanya biashara wanaokuuzia mzigo unanunua mzigo wa 15m unapewa risiti ya 7m Sasa upo kwenye vat utaiclaim vp hiyo 8m hapo ndo imekula kwako labda nawe ubane ktk mauzo yawe kidgo ktk efd
 
Hayo mauzo ndio ya kutoa kutoa risiti?
Yaan watu wanaona 101m ni nyingi kwa mfanya biashara anaefanya mauzo kila siku haijalishi biashara ndogo ya Kati au yajuu kiufupi sheria ya Kodi inamtaka mfanya biashara yayote mwenye mauzo kuanzia 14m kwamwaka anatakiwa awe na EFD machine Sasa piga hesabu zako mtu anaefanya biashara kila siku akifanya biashara kwa mwaka mzima atakua namauzo ya shilingi ngapi yaan kiufupi ukiwa na na EFD machine kuingia kwenye VAT niswala dogo ni ndani ya miaka2 miwili umo ktk vat na ukishaingia msala utakumbana nao pindi utakapokua unanunua mzigo kwa wafanya biashara wakubwa maana wao hawakupi risiti iliyotimia kulingana nahela ulizilipia hapo ndo unakuja ugumu wakuclaim vat
 
Ukifanya mauzo ukaingia kwenye vat mzee baba kwa tz hii wafanya biashara wanaokuuzia mzigo unanunua mzigo wa 15m unapewa risiti ya 7m Sasa upo kwenye vat utaiclaim vp hiyo 8m hapo ndo imekula kwako labda nawe ubane ktk mauzo yawe kidgo ktk efd

Yaah na ndio maana unakua na muhasibu wako, unachambua risti za manunuzi zenye VAT una balance balance na mauzo kutoka z-report zako.

Kikubwa hakuna kumpa TRA ata 50% ya faida yako
 
Tatizo 18% inaumiza sana. Pasipo shaka wafanya biashara nao wanakuja na mbinu za kukwepa kodi. Tuendelee TRA apewe 20 ya faida 80 baki nayo kwa namna yoyote
 
Yaan watu wanaona 101m ni nyingi kwa mfanya biashara anaefanya mauzo kila siku haijalishi biashara ndogo ya Kati au yajuu kiufupi sheria ya Kodi inamtaka mfanya biashara yayote mwenye mauzo kuanzia 14m kwamwaka anatakiwa awe na EFD machine Sasa piga hesabu zako mtu anaefanya biashara kila siku akifanya biashara kwa mwaka mzima atakua namauzo ya shilingi ngapi yaan kiufupi ukiwa na na EFD machine kuingia kwenye VAT niswala dogo ni ndani ya miaka2 miwili umo ktk vat na ukishaingia msala utakumbana nao pindi utakapokua unanunua mzigo kwa wafanya biashara wakubwa maana wao hawakupi risiti iliyotimia kulingana nahela ulizilipia hapo ndo unakuja ugumu wakuclaim vat
Aisee kama ndio iko hivyo basi mfumo sio mzuri,inabidi uangaliwe upya maana watu watakwepa tu hata wafanyeje
 
Yaah na ndio maana unakua na muhasibu wako, unachambua risti za manunuzi zenye VAT una balance balance na mauzo kutoka z-report zako.

Kikubwa hakuna kumpa TRA ata 50% ya faida yako
Unamaanisha nini hapa?
 
Yaah na ndio maana unakua na muhasibu wako, unachambua risti za manunuzi zenye VAT una balance balance na mauzo kutoka z-report zako.

Kikubwa hakuna kumpa TRA ata 50% ya faida yako
Mzee baba risiti utakayoiweka unatakiwa either iwe na tin yako Kama sio tin Basi iwe jina lako Kama haina vyote bas hiyo risiti haina kazi
 
Yaah na ndio maana unakua na muhasibu wako, unachambua risti za manunuzi zenye VAT una balance balance na mauzo kutoka z-report zako.

Kikubwa hakuna kumpa TRA ata 50% ya faida yako
sasa ndio nagundua katika Kuajiri kwangu kuna Mtu nilimuacha Nyuma.

Hizi mambo huwezi komaa nazo Mwenyewe lazima iwepo kichwa inayokaa inacheza na hvi vitu kuanzia aingie kazini hadi anapotoka jioni
 
Yaah pia anakushauri utoe risti za kiasi gani mwezi huu ili tukae kwenye VAT tunayoweza kulipa
 
Back
Top Bottom