Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifanya mauzo ukaingia kwenye vat mzee baba kwa tz hii wafanya biashara wanaokuuzia mzigo unanunua mzigo wa 15m unapewa risiti ya 7m Sasa upo kwenye vat utaiclaim vp hiyo 8m hapo ndo imekula kwako labda nawe ubane ktk mauzo yawe kidgo ktk efdWabongo hawa wanachoogopa ni kufanya mauzo yatayowaingiza kwenye mfumo wa VAT
Yaan watu wanaona 101m ni nyingi kwa mfanya biashara anaefanya mauzo kila siku haijalishi biashara ndogo ya Kati au yajuu kiufupi sheria ya Kodi inamtaka mfanya biashara yayote mwenye mauzo kuanzia 14m kwamwaka anatakiwa awe na EFD machine Sasa piga hesabu zako mtu anaefanya biashara kila siku akifanya biashara kwa mwaka mzima atakua namauzo ya shilingi ngapi yaan kiufupi ukiwa na na EFD machine kuingia kwenye VAT niswala dogo ni ndani ya miaka2 miwili umo ktk vat na ukishaingia msala utakumbana nao pindi utakapokua unanunua mzigo kwa wafanya biashara wakubwa maana wao hawakupi risiti iliyotimia kulingana nahela ulizilipia hapo ndo unakuja ugumu wakuclaim vatHayo mauzo ndio ya kutoa kutoa risiti?
Ukifanya mauzo ukaingia kwenye vat mzee baba kwa tz hii wafanya biashara wanaokuuzia mzigo unanunua mzigo wa 15m unapewa risiti ya 7m Sasa upo kwenye vat utaiclaim vp hiyo 8m hapo ndo imekula kwako labda nawe ubane ktk mauzo yawe kidgo ktk efd
Aisee kama ndio iko hivyo basi mfumo sio mzuri,inabidi uangaliwe upya maana watu watakwepa tu hata wafanyejeYaan watu wanaona 101m ni nyingi kwa mfanya biashara anaefanya mauzo kila siku haijalishi biashara ndogo ya Kati au yajuu kiufupi sheria ya Kodi inamtaka mfanya biashara yayote mwenye mauzo kuanzia 14m kwamwaka anatakiwa awe na EFD machine Sasa piga hesabu zako mtu anaefanya biashara kila siku akifanya biashara kwa mwaka mzima atakua namauzo ya shilingi ngapi yaan kiufupi ukiwa na na EFD machine kuingia kwenye VAT niswala dogo ni ndani ya miaka2 miwili umo ktk vat na ukishaingia msala utakumbana nao pindi utakapokua unanunua mzigo kwa wafanya biashara wakubwa maana wao hawakupi risiti iliyotimia kulingana nahela ulizilipia hapo ndo unakuja ugumu wakuclaim vat
Mzee baba risiti utakayoiweka unatakiwa either iwe na tin yako Kama sio tin Basi iwe jina lako Kama haina vyote bas hiyo risiti haina kaziYaah na ndio maana unakua na muhasibu wako, unachambua risti za manunuzi zenye VAT una balance balance na mauzo kutoka z-report zako.
Kikubwa hakuna kumpa TRA ata 50% ya faida yako
Unamaanisha nini hapa?
Unachezeshaje...hapo niww kuamua kulingana na mauzo yako yatakavyokua risiti ipi ya manunuzi uweke na ipi usiwekrUnakua unachezesha risti zako za manunuzi verse za mauzo ili VAT isipae
sasa ndio nagundua katika Kuajiri kwangu kuna Mtu nilimuacha Nyuma.Yaah na ndio maana unakua na muhasibu wako, unachambua risti za manunuzi zenye VAT una balance balance na mauzo kutoka z-report zako.
Kikubwa hakuna kumpa TRA ata 50% ya faida yako
sasa ndio nagundua katika Kuajiri kwangu kuna Mtu nilimuacha Nyuma.
Hizi mambo huwezi komaa nazo Mwenyewe lazima iwepo kichwa inayokaa inacheza na hvi vitu kuanzia aingie kazini hadi anapotoka jioni