Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kuna wakat I unapaswa kujua kuwa kumiliki pesa ni raisi kuliko kuzizalisha ziongezeke
MI nilitumia njia ya kumpa posho kila siku na mshahara ukiwa pale pale
Na alikuwa akiuza vizur posho iliongezeka Zaid
Kuiba ataiba ila atajikuta nae anakosa posho
Ni kweli ila kwa biashara yangu ilikuwa ngumu Kuiba labda amzidishie mteja beiSasa mwingine unampa hizo ofa lakini bado akawa hajitambui!
Hii ni manipulation....Ili kumpata mfanyakazi muaminifu, mlipe vizuri. Mpe ahadi za kumsaidia endapo atafikisha lengo.
Kuwa karibu naye na umjali. Muambie kuwa unaona kila sababu ya kumuamini. Kwamba nafsi yako inamtuma kumuamini.
Upande wa pili mtie hofu ila siyo wewe mwenyewe. Watafute watu kadhaa watakaoenda kumpeleleza na kumuambia kuwa wewe unapenda watu waaminifu. Kwamba kila aliyejaribu kukufanyia hila, cha mtema kuni alikiona.
Lakini kabla ya kuyafanyia kazi yote hayo, mchunguze na kumjua kabla ya kumuamini.
HHii mm imefeli kbs mkuu!Ili kumpata mfanyakazi muaminifu, mlipe vizuri. Mpe ahadi za kumsaidia endapo atafikisha lengo.