Zipi ni njia bora za kumpata mfanyakazi mwaminifu

Ni changamoto sana.....watu hakuna kabisa...kuna kipindi nilikuwa natamani ili nimpe mtu kazi aache kiungo chake muhimu kwangu kama dhamana......ila njia ninayoitumia kwa sasa nikumpa mtu hisa (kama 5 - 10%) ya faida naye ajisikie kama mmiliki badala ya kumlipa kama kibarua...hii imenisaidia kidogo....Biashara nyingine ambayo hainiumizi kichwa kabisa mpaka sasa ni mobile money ambayo ni mjinga tu anaweza kudokoa sababu utamshika kirahisi...ripoti zote zinatumwa online
 
Kuna mwamba mmoja bwana nilimkabidhi kitabu Cha risiti ..bas mteja akilipa marejesho anampa receipt fake..huku inaonekana mtu bado anadaiwa...imagine unampa hizo %!..so akikusanya marejesho anampa risiti zake!😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…