Zipi ni njia bora za kumpata mfanyakazi mwaminifu

Ili kumpata mfanyakazi muaminifu, mlipe vizuri. Mpe ahadi za kumsaidia endapo atafikisha lengo.

Kuwa karibu naye na umjali. Muambie kuwa unaona kila sababu ya kumuamini. Kwamba nafsi yako inamtuma kumuamini.

Upande wa pili mtie hofu ila siyo wewe mwenyewe. Watafute watu kadhaa watakaoenda kumpeleleza na kumuambia kuwa wewe unapenda watu waaminifu. Kwamba kila aliyejaribu kukufanyia hila, cha mtema kuni alikiona.

Lakini kabla ya kuyafanyia kazi yote hayo, mchunguze na kumjua kabla ya kumuamini.
Hii mbinu imenisaidia sana
1. nawalipa vizuri
2. Nawalipa bonus wakifikia target niliyowawekea kila mmoja
3. Nawapa tips mara kwa mara, wakati mwingine nawasapraizi kwa free lunch, dinner, au vizawadi vya hapa na pale
4. Nawatreat kwa ukaribu, na huwa wapo tayari ku express problems zao kwangu
5. Niliwaambia wasiniite BOSS , waniite bro

Sent using Jamii Forums mobile app
NB
Kabla ya kuwapata hawa, nimeajiri na kuacha mara kadhaa
 
What's funny,

Kuna watu waaminifu out there, lakini wana mabosi wakorofi na makatili

Kuna mabosi very kind, lakini wanapata watumishi vimeo kabisa

Vyovyote iwavyo mkuu, hata ukipata mtumishi mwaminifu wewe mwenyewe uwe karibu na mali/shughuli zako

Tumia mbinu za usalama wa taifa, ULIPO TUPO, ajiri Mtumishi na tafuta mtu wa jirani atakeyekuwa anafuatilia mienendo ya mtumishi. Huyo mwingine unaweza kuwa unampa viposho vya hapa na pale (hii inasaidia zaidi kudhibiti kuibiwa kuliko kupata mwaminifu) .

Pili ajiri mtumishi kila baada ya muda fulani, mtumishi asiizoee sana biashara yako, akikaa mwaka wa 1 wa 2 unamuondoa (hii inategemeana na aina ya biashara yako)

Tatu tumia mbinu za wakuu walizozitaja hapo juu, hasa hiyo ya kumpa upendo mtumishi wako lakini wakati huo huo kumpa hofu
Hello!

Kuajiri mtu akufanyie shughuli zako sasa hivi ni kitu kinachosumbua sana watu wengi, nikiwemo. Ukisema uajiri ndugu tegemea maumivu tu yasioelezeka.

Ukisema uajiri rafiki tegemea kabisa urafiki kuvunjika hakawii kukuzunguka. Nyie wenzangu mnatumia njia gani bora za kuajiri mtu MWAMINIFU? Yaani ile kazi unamwachia hela ndefu ukisubiria returns, maana huwezi fanya kila kitu mwenyewe.

Ipi ni njia sahihi ya kumpata mtu atleast mwaminifu. Au ulimpataje mtu mwaminifu?

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kumuanzishia na vilaki kadhaa kupima uaminifu wake

Pia, mtu wa hivyo tafuta mwenye familia (ambaye si rahisi kutoroka)

Ukipata mwenye familia na anaishi kwenye nyumba yake hata kama sio nzuri sana (assets ambayo ni dhamana flani) , ni mzuri zaidi
October man,

Hongera sana...una bahati!...mm hapa namanisha yule wakumkabidhi kbs hela.lets say 5m...!sio nimkabidh vitu...hapana ni;hela!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kumuanzishia na vilaki kadhaa kupima uaminifu wake

Pia, mtu wa hivyo tafuta mwenye familia (ambaye si rahisi kutoroka)

Ukipata mwenye familia na anaishi kwenye nyumba yake hata kama sio nzuri sana (assets ambayo ni dhamana flani) , ni mzuri zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOT

Asante kwa ushauri wko mkuu!yaan yot haya nafanya lakini anachofanya anahonga mama ntilie balaa😅
 
Ili kumpata mfanyakazi muaminifu, mlipe vizuri. Mpe ahadi za kumsaidia endapo atafikisha lengo.

Kuwa karibu naye na umjali. Muambie kuwa unaona kila sababu ya kumuamini. Kwamba nafsi yako inamtuma kumuamini.

Upande wa pili mtie hofu ila siyo wewe mwenyewe. Watafute watu kadhaa watakaoenda kumpeleleza na kumuambia kuwa wewe unapenda watu waaminifu. Kwamba kila aliyejaribu kukufanyia hila, cha mtema kuni alikiona.

Lakini kabla ya kuyafanyia kazi yote hayo, mchunguze na kumjua kabla ya kumuamini.
Malipo mazuri na appreciation Sana ndicho unachomaanisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana waaminifu tupo, tatizo hatuna koneksheni.
Mimi nimewahi kushuhudia boss flani kamuajiri kijana ambaye haonyeshi kujali kwa lolote kwa kazi anazopewa na boss wake.
Isitoshe hela analipwa vizuri kabisa, boss akija lazima dogo hakosi 5,000 - 10,000 ya soda.
Nikawa najisemea, "hii nafasi ningeipata mimi"
kwahiyo kwa kifupi vijana waaminifu na wachapa kazi tupo! Ila conection za kukutana na maboss ni inshu. Maana mtu umekulia KASANGEZI KIBONDO hao maboss utakutana nao wapi.
 
Hilo jina lenyewe tu la kasenge connection lazima iwe changamoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello!

Kuajiri mtu akufanyie shughuli zako sasa hivi ni kitu kinachosumbua sana watu wengi, nikiwemo. Ukisema uajiri ndugu tegemea maumivu tu yasioelezeka.

Ukisema uajiri rafiki tegemea kabisa urafiki kuvunjika hakawii kukuzunguka. Nyie wenzangu mnatumia njia gani bora za kuajiri mtu MWAMINIFU? Yaani ile kazi unamwachia hela ndefu ukisubiria returns, maana huwezi fanya kila kitu mwenyewe.

Ipi ni njia sahihi ya kumpata mtu atleast mwaminifu. Au ulimpataje mtu mwaminifu?

Nawasilisha.
Mkuu Manengelo nitafute tufanye kazi maana uaminifu wa mtu kwenye kazi utauona kwa matokeo ya kazi anayofanya,si rahisi kujua level ya uaminifu wa mtu kwa yeye kukuambia tu kuwa mimi ni mwaminifu,pia usisahau kuwa uaminifu huu huwa unatakiwa pande zote mwajiriwa na mwajiri.Nabisha kusema kuwa hakuna watu waaminifu kwenye kazi,nina hakika wapo sema hujampata bado.
 
'Nabisha kusema kuwa hakuna watu waaminifu'

Mpk hapo unaweza usipate kazi maana inaonekana wewe unabishana na your potential employer.,hahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello!

Kuajiri mtu akufanyie shughuli zako sasa hivi ni kitu kinachosumbua sana watu wengi, nikiwemo. Ukisema uajiri ndugu tegemea maumivu tu yasioelezeka.

Ukisema uajiri rafiki tegemea kabisa urafiki kuvunjika hakawii kukuzunguka. Nyie wenzangu mnatumia njia gani bora za kuajiri mtu MWAMINIFU? Yaani ile kazi unamwachia hela ndefu ukisubiria returns, maana huwezi fanya kila kitu mwenyewe.

Ipi ni njia sahihi ya kumpata mtu atleast mwaminifu. Au ulimpataje mtu mwaminifu?

Nawasilisha.
Usitafute mwenye njaa sana na mjuaji sana, mpe uhuru, usionyeshe kumhisi kwa mabaya, kuwa ndugu/mwalimu/mfano wakuigwa kamwe hawezi kuiba
 
Vijana waaminifu tupo, tatizo hatuna koneksheni.
Mimi nimewahi kushuhudia boss flani kamuajiri kijana ambaye haonyeshi kujali kwa lolote kwa kazi anazopewa na boss wake.
Isitoshe hela analipwa vizuri kabisa, boss akija lazima dogo hakosi 5,000 - 10,000 ya soda.
Nikawa najisemea, "hii nafasi ningeipata mimi"
kwahiyo kwa kifupi vijana waaminifu na wachapa kazi tupo! Ila conection za kukutana na maboss ni inshu. Maana mtu umekulia KASANGEZI KIBONDO hao maboss utakutana nao wapi.

Katika watu ambao hawapo serious ww ni nambari 1!...😷
 
hapo napo hatar unakuta wanaiba kama timu
Rasimisheni biashara zenu.

Hiyo ndio tiba.

Kila mfanyakazi apewe Mkataba, Job Description na Responsibilities.

Afanye Kazi na Kutoa Report Kwa Seniors !

Acheni Kuji-embed Kwenye Biashara. Yaani Biashara Ndio Ninyi Na Ninyi Ndio Biashara

!
 
Back
Top Bottom