Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Njoo Makete huku nikupeleke kwa mtaalamu mmoja huyo kiboko, anamfanya mfanyakazi wako zezeta, chochote utakachomuambia anafanya, hataiba hata sh, mia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]..cku akiacha kazNjoo Makete huku nikupeleke kwa mtaalamu mmoja huyo kiboko, anamfanya mfanyakazi wako zezeta, chochote utakachomuambia anafanya, hataiba hata sh, mia.
Hii mbinu imenisaidia sanaIli kumpata mfanyakazi muaminifu, mlipe vizuri. Mpe ahadi za kumsaidia endapo atafikisha lengo.
Kuwa karibu naye na umjali. Muambie kuwa unaona kila sababu ya kumuamini. Kwamba nafsi yako inamtuma kumuamini.
Upande wa pili mtie hofu ila siyo wewe mwenyewe. Watafute watu kadhaa watakaoenda kumpeleleza na kumuambia kuwa wewe unapenda watu waaminifu. Kwamba kila aliyejaribu kukufanyia hila, cha mtema kuni alikiona.
Lakini kabla ya kuyafanyia kazi yote hayo, mchunguze na kumjua kabla ya kumuamini.
Hello!
Kuajiri mtu akufanyie shughuli zako sasa hivi ni kitu kinachosumbua sana watu wengi, nikiwemo. Ukisema uajiri ndugu tegemea maumivu tu yasioelezeka.
Ukisema uajiri rafiki tegemea kabisa urafiki kuvunjika hakawii kukuzunguka. Nyie wenzangu mnatumia njia gani bora za kuajiri mtu MWAMINIFU? Yaani ile kazi unamwachia hela ndefu ukisubiria returns, maana huwezi fanya kila kitu mwenyewe.
Ipi ni njia sahihi ya kumpata mtu atleast mwaminifu. Au ulimpataje mtu mwaminifu?
Nawasilisha.
October man,
Hongera sana...una bahati!...mm hapa namanisha yule wakumkabidhi kbs hela.lets say 5m...!sio nimkabidh vitu...hapana ni;hela!
Unaweza kumuanzishia na vilaki kadhaa kupima uaminifu wake
Pia, mtu wa hivyo tafuta mwenye familia (ambaye si rahisi kutoroka)
Ukipata mwenye familia na anaishi kwenye nyumba yake hata kama sio nzuri sana (assets ambayo ni dhamana flani) , ni mzuri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOT
Asante kwa ushauri wko mkuu!yaan yot haya nafanya lakini anachofanya anahonga mama ntilie balaa😅
Hahaha Dada ake embu Fanya kunikabidhi hayo mahelaOctober man,
Hongera sana...una bahati!...mm hapa namanisha yule wakumkabidhi kbs hela.lets say 5m...!sio nimkabidh vitu...hapana ni;hela!
Hahaha Dada ake embu Fanya kunikabidhi hayo mahela
Malipo mazuri na appreciation Sana ndicho unachomaanishaIli kumpata mfanyakazi muaminifu, mlipe vizuri. Mpe ahadi za kumsaidia endapo atafikisha lengo.
Kuwa karibu naye na umjali. Muambie kuwa unaona kila sababu ya kumuamini. Kwamba nafsi yako inamtuma kumuamini.
Upande wa pili mtie hofu ila siyo wewe mwenyewe. Watafute watu kadhaa watakaoenda kumpeleleza na kumuambia kuwa wewe unapenda watu waaminifu. Kwamba kila aliyejaribu kukufanyia hila, cha mtema kuni alikiona.
Lakini kabla ya kuyafanyia kazi yote hayo, mchunguze na kumjua kabla ya kumuamini.
Hilo jina lenyewe tu la kasenge connection lazima iwe changamoto.Vijana waaminifu tupo, tatizo hatuna koneksheni.
Mimi nimewahi kushuhudia boss flani kamuajiri kijana ambaye haonyeshi kujali kwa lolote kwa kazi anazopewa na boss wake.
Isitoshe hela analipwa vizuri kabisa, boss akija lazima dogo hakosi 5,000 - 10,000 ya soda.
Nikawa najisemea, "hii nafasi ningeipata mimi"
kwahiyo kwa kifupi vijana waaminifu na wachapa kazi tupo! Ila conection za kukutana na maboss ni inshu. Maana mtu umekulia KASANGEZI KIBONDO hao maboss utakutana nao wapi.
Mkuu Manengelo nitafute tufanye kazi maana uaminifu wa mtu kwenye kazi utauona kwa matokeo ya kazi anayofanya,si rahisi kujua level ya uaminifu wa mtu kwa yeye kukuambia tu kuwa mimi ni mwaminifu,pia usisahau kuwa uaminifu huu huwa unatakiwa pande zote mwajiriwa na mwajiri.Nabisha kusema kuwa hakuna watu waaminifu kwenye kazi,nina hakika wapo sema hujampata bado.Hello!
Kuajiri mtu akufanyie shughuli zako sasa hivi ni kitu kinachosumbua sana watu wengi, nikiwemo. Ukisema uajiri ndugu tegemea maumivu tu yasioelezeka.
Ukisema uajiri rafiki tegemea kabisa urafiki kuvunjika hakawii kukuzunguka. Nyie wenzangu mnatumia njia gani bora za kuajiri mtu MWAMINIFU? Yaani ile kazi unamwachia hela ndefu ukisubiria returns, maana huwezi fanya kila kitu mwenyewe.
Ipi ni njia sahihi ya kumpata mtu atleast mwaminifu. Au ulimpataje mtu mwaminifu?
Nawasilisha.
Mkuu Manengelo nitafute tufanye kazi maana uaminifu wa mtu kwenye kazi utauona kwa matokeo ya kazi anayofanya,si rahisi kujua level ya uaminifu wa mtu kwa yeye kukuambia tu kuwa mimi ni mwaminifu,pia usisahau kuwa uaminifu huu huwa unatakiwa pande zote mwajiriwa na mwajiri.Nabisha kusema kuwa hakuna watu waaminifu kwenye kazi,nina hakika wapo sema hujampata bado.
Usitafute mwenye njaa sana na mjuaji sana, mpe uhuru, usionyeshe kumhisi kwa mabaya, kuwa ndugu/mwalimu/mfano wakuigwa kamwe hawezi kuibaHello!
Kuajiri mtu akufanyie shughuli zako sasa hivi ni kitu kinachosumbua sana watu wengi, nikiwemo. Ukisema uajiri ndugu tegemea maumivu tu yasioelezeka.
Ukisema uajiri rafiki tegemea kabisa urafiki kuvunjika hakawii kukuzunguka. Nyie wenzangu mnatumia njia gani bora za kuajiri mtu MWAMINIFU? Yaani ile kazi unamwachia hela ndefu ukisubiria returns, maana huwezi fanya kila kitu mwenyewe.
Ipi ni njia sahihi ya kumpata mtu atleast mwaminifu. Au ulimpataje mtu mwaminifu?
Nawasilisha.
Vijana waaminifu tupo, tatizo hatuna koneksheni.
Mimi nimewahi kushuhudia boss flani kamuajiri kijana ambaye haonyeshi kujali kwa lolote kwa kazi anazopewa na boss wake.
Isitoshe hela analipwa vizuri kabisa, boss akija lazima dogo hakosi 5,000 - 10,000 ya soda.
Nikawa najisemea, "hii nafasi ningeipata mimi"
kwahiyo kwa kifupi vijana waaminifu na wachapa kazi tupo! Ila conection za kukutana na maboss ni inshu. Maana mtu umekulia KASANGEZI KIBONDO hao maboss utakutana nao wapi.
Rasimisheni biashara zenu.
Hiyo ndio tiba.
Kila mfanyakazi apewe Mkataba, Job Description na Responsibilities.
Afanye Kazi na Kutoa Report Kwa Seniors !
Acheni Kuji-embed Kwenye Biashara. Yaani Biashara Ndio Ninyi Na Ninyi Ndio Biashara
!