Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za siku nyingi! Unanikataa kabisa siku hizi dogo hunipigii kabisamanengelo Nilikukera vipi mama?
Sipendi kumkera mtu.
Laiti ungejua, usingesema nilikukera.
Ila muda bado upo!
Za siku nyingi! Unanikataa kabisa siku hizi dogo hunipigii kabisamanengelo Nilikukera vipi mama?
Sipendi kumkera mtu.
Laiti ungejua, usingesema nilikukera.
Ila muda bado upo!
Hakuna mfanyakazi anatosheka na MshaharaSijui kama huu mfano utasaidia.
Mabaunsa zamani tulikua tukiitwa kulinda Uwanja wa Taifa tunaambiwa malipo ni 30, na tulikua hatukatai kwakua tulikua tunajua kuna njia za kuiba.
Utakuta unawapitisha watu mlango wa nyuma unapata almost 180. Baadaye ikawa tunalinda na askari, upigaji ukaminywa na tukawa tunakataa kazi.
Point yangu ni kwamba kama maslahi yanaendana na kazi anayofanya mtu uaminifu ni given.
Hahaha.eti ataiba lakin itakuaSeriously, ajiri kijana wa kichaga! Atakuibia lakini atahakikisha biashara yako inakua pia! Kitu muhimu ni wewe uwepo! No short cut! Sitaki kabisa kusikia MTU anayeitwa ndugu
Hahaa Mtani umekuja?
Sina idea na networkng business!
Ndyo maneno yenu hya mkiwa mmepigika ila mkipewa na Chanel mnaanza kuonyesha picha zenu halisiVijana waaminifu tupo, tatizo hatuna koneksheni.
Mimi nimewahi kushuhudia boss flani kamuajiri kijana ambaye haonyeshi kujali kwa lolote kwa kazi anazopewa na boss wake.
Isitoshe hela analipwa vizuri kabisa, boss akija lazima dogo hakosi 5,000 - 10,000 ya soda.
Nikawa najisemea, "hii nafasi ningeipata mimi"
kwahiyo kwa kifupi vijana waaminifu na wachapa kazi tupo! Ila conection za kukutana na maboss ni inshu. Maana mtu umekulia KASANGEZI KIBONDO hao maboss utakutana nao wapi.
Tafuta kijana kijijini mleta dsm, by early January 2020, niachie just two weeks then chukua kijana wako akachape kazi.Hello!
Kuajiri mtu akufanyie shughuli zako sasa hivi ni kitu kinachosumbua sana watu wengi, nikiwemo. Ukisema uajiri ndugu tegemea maumivu tu yasioelezeka.
Ukisema uajiri rafiki tegemea kabisa urafiki kuvunjika hakawii kukuzunguka. Nyie wenzangu mnatumia njia gani bora za kuajiri mtu MWAMINIFU? Yaani ile kazi unamwachia hela ndefu ukisubiria returns, maana huwezi fanya kila kitu mwenyewe.
Ipi ni njia sahihi ya kumpata mtu atleast mwaminifu. Au ulimpataje mtu mwaminifu?
Nawasilisha.