Yawezekana unatongoza wasichana wasio-type yako,we ukitamani tu unaenda,lazima upigwe chini......
Yawezekana una story za kitoto,mara ngoja nikachukue hela kwa mshua twende sijui wapi,mara ngoja nkachukue hela kwa maza tutoke??kuna mistori fulani ya kiyoyo baadhi ya wanaume watu wazima tu wanayo inachefua.......
Wengine hata hujamjua jina la pili unamwambia unataka umuoe,i think you will make a good mother???
Yawezekana una jisifu sana,au una story zisizohitajika au una-bore tu(there is no fun having you around),yabidi kabla hujamtongoza mtu umjue walau kidogo,interest zake,taste zake za vitu,anapenda kutoka out kwenda wapi,ni mtu wa malezi gani,dini yake,elimu yake,company yake etc etc,manake ndo haya mtu kazoe kwenda out Marry Brown kula junk food we unakurupuka unampeleka kula kitimoto JJ na mbu kibao,lazima upigwe chini...........pole Elia.:Cry: