Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Huoni kuwa kuna utamu zaidi pale mtoto anapokuwa wako wa kumzaa?Kiafrika, mtoto ni Mtoto wa Kila MTU, Haya mambo ya biological father yameletwa kuharibu ustawi wa family tu.
Kuna makabila Tanza-nia Mtoto ni WA Mjomba, yaani usitarajie uende Kusini au Pwani umzalishe Binti Kisha udai Mtoto! Subutuuuuu, mtoto ni WA ujombani.....Ina logic Fulani Hivi
Wanaume huwa wanazaa?Kubali mtoto.Unatafuta ujanjaujanja ukimbie?😂😂😂😂😂Huoni kuwa kuna utamu zaidi pale mtoto anapokuwa wako wa kumzaa?
Kwa mujibu wa maswali ya sensa 2022 mtoto ni wa mwanamke kwani ndiye anae zaa.Huoni kuwa kuna utamu zaidi pale mtoto anapokuwa wako wa kumzaa?
Mpwa, leave pie as pie, don't simplify! Una uhakika Gani ni mwanao kweli?Huoni kuwa kuna utamu zaidi pale mtoto anapokuwa wako wa kumzaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] to accept Responsibility sio jambo la kukurupukaWanaume huwa wanazaa?Kubali mtoto.Unatafuta ujanjaujanja ukimbie?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakubali kwa nguvu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] to accept Responsibility sio jambo la kukurupuka
Uzi ufungwe.Mwanaume ukiwa
1. Huna hela, huna future
Huwezi bambikwa mimba Wala kusingiziwa mtoto.
2. Huna Ela, ila una future
Mimba utabambikwa, mtoto akizaliwa kadi za clinic zinakua mbili.
3. Ela unayo, na future unayo
Mimba utabambikwa, utalea mimba na kusomesha mtoto mpk chuo kikuu
Kama mwanamke yuko ndani ya ndoa akibeba mimba na sio ya mme wake lazima ambambikizie mume ili kuepusha aibuNdugu zangu kila mmoja wetu achangie mada hii ili tupate kiini cha swala hili. Kuna baadhi ya wanaume wametunza watoto ambao si wao, kuanzia mimba mpaka ukubwani kwa kuwasomesha kwa gharama kubwa pasipokujua kuwa sio watoto wao.
Baadhi ya familia zinaishi na watoto wasiokuwa wa baba mwenye familia na hata kurizishwa mali huku baba mwenye familia akijuwa kuwa ni watoto wake.
Sababu kubwa ni ipi ukizingatia kuwa baba wa familia hiyo hana matatizo ya kutungisha mimba.
Nakazia ✍️✍️Na ni Kati ya mambo yanayochangia kuwa na jamii yenye watu waliopungukiwa na karama, vipawa, baraka, kibali n.k
Asikudanganye mtu mtiririko wa baraka unaanzia kwa Mungu muumbaji kwenda kwa baba
Kumnyima mtoto connection na baba yake ni kumnyima baraka zake toka kwa Mungu. Unaweza kujisemea mbona mtoto yupo powa tuu lakini amini kipo kikubwa anachokikosa
Baba hubarikiwa na Mungu kadri ya neno lake na baba hubariki wanawe
Nakazia ✍️✍️
Jambo la msingi sana hili