Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu,Hii mada inatuumiza wengine ambao hatujui Baba zetu wazazi hadi muda huu.
Ndugu zangu kila mmoja wetu achangie mada hii ili tupate kiini cha swala hili. Kuna baadhi ya wanaume wametunza watoto ambao si wao, kuanzia mimba mpaka ukubwani kwa kuwasomesha kwa gharama kubwa pasipokujua kuwa sio watoto wao.
Baadhi ya familia zinaishi na watoto wasiokuwa wa baba mwenye familia na hata kurizishwa mali huku baba mwenye familia akijuwa kuwa ni watoto wake.
Sababu kubwa ni ipi ukizingatia kuwa baba wa familia hiyo hana matatizo ya kutungisha mimba.
Mtoto ni wa Mwanamke ndiyo maana kwenye kuchukua kadi au namba ya Nida una ulizwa majina mawili ya Mama yakoKwa mujibu wa maswali ya sensa 2022 mtoto ni wa mwanamke kwani ndiye anae zaa.