Zipi sababu za wanaume kubambikiziwa watoto wa wanaume wenzao?

Bana eeh... mtoto akizaliwa nyumbani kwako huyo ni wakwako, full stop.
 
N bora kulea mtoto hata kama sio wako, mbona tunafuga mbwa na bil ya manyama buchan tunamwekea anazaa watto 8 wote tunawalea kwan ww n baba mbwa? Saio hata dume ujui lko wap lilompa mmba mbwa wako kwaio kama ukiletewa mtoto we lea tu mzee..
 
kwa sababu sasa tuna vipimo vya malara, mkmba na ukimwi waweza kupima nyumbani. Nashauri serikali ilione hili kuleta vipimo vya DNA tunapima tu nyumbani😊
 
Pesa wanawake wanaangalia pesa ipo wapi nasema hao ambao bado awajaolewa....kwa wale waloolewa wanafanya hivo kutunza heshima zao na kulinda ndoa zao
 
Daaah, baadhi ya wanawake wamelaanika hata hawaoni kuwa ni kosa kubwa kumbambikizia mtu mimba isiyo yake au mtoto asiwo wake,
Kila nikikumbuka, basi imani na wanawake inaisha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…