Zipi sababu za waume wengi kufa mapema kuliko wake zao?

Zipi sababu za waume wengi kufa mapema kuliko wake zao?

ANTDOTE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2023
Posts
216
Reaction score
609
Screenshot_20231123-204645.jpg
 
1.umri tofauti.
2.majukumu,men's tunatoil sana kupata riziki tofauti na wao.
3.style of life sisi na wao tofauti.
4.kula sana totoz na mipombe mikali.
5.fitina zao dhidi yetu.
Wengine wataongezea.
 
Sababu ziko nyingi, nitaje chache;

1. Kukaa na vitu moyoni hususani vinavyohitaji msaada. Kukaa na majuto na maumivu ya mambo kutokusogea bila ku share.

2. Majukumu mengi/magumu na idadi kubwa ya wategemezi (mke, watoto, wazazi, ndugu, makazi, kusomesha watoto etc

3. Ubinafsi wa wanawake. (Najua hili kuna ambao watakataa)

4. Life style za wanaume mfano aina ya kazi (nyingi ni ngumu na zenye risk), wengi kutokujijali na kutumia mda mwingi kuangalia wengine.

5. Kuongezea namba nne, watumiaji wengi wa pombe kali, fegi, bangi etc ni wanaume.

Kuna ambalo nmeacha?
 
Aah Minyama tu... akipita minyama tuu....

Tunafanya kazi ngumu za kubeba vitu vizito.
Hio picha Ina maana kubwa sana tofauti na watu wanavyoifikiria

Yaan hapo Mwanamke ni mafuta na Mwanaume amebakia mifupa, sawa useme umchukue Mwanaume umfungie kwenye chumba chake na umchukue Mwanamke umfungie kwenye chumba chake, wote wawili wakae siku 7 bila kula chochote Mwanaume hatoboi hafiki hata siku 4 Ila Mwanamke mafuta hata zaidi ya siku 7 anatoboa

Ndio maana Wanaume wanakufa mapema hawana mafuta mafuta, 🤪
 
Haihusiani na mada lakini kuna ule mjadala tuliufanya sana tukiwa shule ya msingi.
Hivi mwanamke na mwanaume wakifungiwa kwenye chumba wakanyimwa chakula na maji nani atawahi kukata moto na ni kwa sababu gani?

Nikijibu swali la mtoa mada.
Wanaume tumeumbwa kuteseka na kuishi kwa kutaabika.
Yaani hatakama tutapewa same conditions and all factors zikawa constant basi mwanaume atakuwa na tabu tu??
 
Wanaume cc tunakufa na mengi aiseé [emoji23][emoji23][emoji1787]

Njee ya majukumu tuliyonayo km wanaume pia wanawake waliotolewa ubavun mwetu nao ni chanzo cc kufa mapemaa sanaaa.
 
Huwa nawazaga hivi, sijui kama napatia;

Binadamu ana lifespan yake, kuna umri hawezi kupitiliza. Lifespan ni miaka 79-122.

Kwenye ndoa nyingi mwanaume ndo kamzidi umri mwanamke, kwahiyo mwanaume lazima atakua wakwanza kumaliza lifespan, yaani hatakama mkiishi hiyo 122, mwanaume ndo atakufa kwanza, mwanaume ndo anatangulia kuzeeka, mwanaume ndo atawahi kufika finish line.

Sasa sijui kama ndoa amabazo mwanamke kamzidi mwanaume umri, ama wako sawa nazo wanaume wanawahi kufa.
 
Mama wakwe wengi washirikina na wachawi mojawapo ya targets zao hupenda kuua wakwe zao na wanaume zao as well.

Ikiwa kuua mumewe haoni shida sembuse mkwe?!

Tena kama umejaliwa vimali kuwa makini.

Wanaambizana kabisa Maliza hiyo uwe mirt hi wa mali hao watoto utawapiga mikwala kuwa wewe ndiye ulichangia kwa asilipia kubwa kupatikana kwa mali hizo kwa hiyo watafute zao sivyo utawalaani!
 
Back
Top Bottom