Sababu ziko nyingi, nitaje chache;
1. Kukaa na vitu moyoni hususani vinavyohitaji msaada. Kukaa na majuto na maumivu ya mambo kutokusogea bila ku share.
2. Majukumu mengi/magumu na idadi kubwa ya wategemezi (mke, watoto, wazazi, ndugu, makazi, kusomesha watoto etc
3. Ubinafsi wa wanawake. (Najua hili kuna ambao watakataa)
4. Life style za wanaume mfano aina ya kazi (nyingi ni ngumu na zenye risk), wengi kutokujijali na kutumia mda mwingi kuangalia wengine.
5. Kuongezea namba nne, watumiaji wengi wa pombe kali, fegi, bangi etc ni wanaume.
Kuna ambalo nmeacha?