bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
vanguard akae mkao wa kunywa mafuta, ni 2500ccSUV or any type? Go for Japanese brands.
Toyota Vanguard,
Mazda CX5
Honda Vezel (it's an hybrid)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vanguard akae mkao wa kunywa mafuta, ni 2500ccSUV or any type? Go for Japanese brands.
Toyota Vanguard,
Mazda CX5
Honda Vezel (it's an hybrid)
@Mshana Jr plz come here and help this.Serice yakounafanya sehemu gani?
@Mshana Jr@Mshana Jr plz come here and help this.
@Mshana Jr
Sawa...wewe bmw yako unafanyia wapi service?Badili mtazamo wako kuhusu BMW
Ni aina ya gari inayoaangaliwa kwa jicho la tofauti sana... Likionekana ni gari ghali na la kifahari huku watu wakitishana sana kuhusu ughali wa vipuri na upatikanaji wake wa shida. Lakini nikwambie tu kitu kimoja hakuna gari imara kama BMW na ukiweza kufuata masharti ya kumiliki gari hutakaa...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
How about honda crossroad??If it were you, which one will u choose
Forester
Vanguard
Harrier
Rav4
Outlander
Hii budget tafuta prado 2 nzuri uishi nayoI think i should go for vanguard maaana harrier zimetapakaa pia rush siipendi umbo lake, au kuna suv ya toyota nyingine bomba?
Mazda CX 5 tena apate ile ya Petrol aiseeee chuma saana hii kituSUV or any type? Go for Japanese brands.
Toyota Vanguard,
Mazda CX5
Honda Vezel (it's an hybrid)
BMW X3 yenye engine ya DIESEL ni nzuri zaidi kama unapenda mbio na yenye nguvu kuna Cc 3000 itafaa lakini pia kuna yenye cc 2000 japo bajeti yake ni zaidi ya 30M hadi 40MVp wana ndugu,
Nafikiria kununua BMW x3, ningependa mniongoze faida na changamoto za kuwa na gaira aina kama hii.
Na mengine mengi mtakayoona yanafaa kuhusu gari hili tungependa kuyasoma yote na wana JF walioko concerned.
KARIBUNI
Mkuu hizi BMW sikuhizi zipo nyingi Sana mtaani hasa 320i, X1,X3 na X5Kwa uzoefu wangu wa kuendesha BMW for 3 years now (ikiwa ndio gari yangu ya kwanza), achana na hii gari kama pesa yako ni ya mawazo. Most of hizi gari sisi tunanunua huku ni za below 2010, wachache sana wanunua up to 2015. Kwenye huu umri gari inahitaji replacement ya vitu vingi sana na hapo shida ndio inapoanzia. Na ndio maana BMW ni miongoni mwa gari ambazo ni rahisi sana kuzinunua. Mtu mwenye 13 M anapata 320i ya maana kabisa ila IST hupati.
BTW, ni chuma tamu sana. Ukizoea kuendesha hii then ukapewa toyota ya ajabu ajabu, utateseka sana.
Kodi vp MkuuKwa uzoefu wangu wa kuendesha BMW for 3 years now (ikiwa ndio gari yangu ya kwanza), achana na hii gari kama pesa yako ni ya mawazo. Most of hizi gari sisi tunanunua huku ni za below 2010, wachache sana wanunua up to 2015. Kwenye huu umri gari inahitaji replacement ya vitu vingi sana na hapo shida ndio inapoanzia. Na ndio maana BMW ni miongoni mwa gari ambazo ni rahisi sana kuzinunua. Mtu mwenye 13 M anapata 320i ya maana kabisa ila IST hupati.
BTW, ni chuma tamu sana. Ukizoea kuendesha hii then ukapewa toyota ya ajabu ajabu, utateseka sana.
Chagua gari ...ingia kwenye tra calculator. Utaona kodi jumlisha na ya clearing agen plus TPA.Kodi vp Mkuu
X5 natumia huku Perth nipo kikazi mpaka April 2025 nataka nirudi nayo bongoChagua gari ...ingia kwenye tra calculator. Utaona kodi jumlisha na ya clearing agen plus TPA.
MIMI nina BMW ya 2012 ....ukihitaji msaada wa lolote nicheki.
If it were you, which one will u choose
Forester
Vanguard
Harrier
Rav4
Outlander
Hata toyota ukitaka plug original bei ni hiyo hiyo, engine kama ni synthetic pia kwa toyota bei ni hiyo hiyo. Nna bmw e60 toka 2019 sijawahi kuwa na major breakdown ila magari ya ulaya inabidi upende kusoma na kujua tatizo la gari uzuri forums zipo kibao ila magari ya kijapani forum zimeandikwa kijapani. Gari za ulaya zinataka owner anaejua gari na fundi anaejua au kuelezeka. Otherwise uwe na hela kupeleka garage nzuri kama kwa mlebanon, atlantic, dmag etc au DT DobieBMW ikizidi 10 years tokea utengenezwe ni majanga. Mfano sahivi uchukue BMW ya 2014 kuja juu atleast itakua na matengenezo machache.
Hawa jamaa wametumia plastic katika sehemu sensitive sana, mfano katika cooling system.
Sasa plastic parts kutokana na joto na muda zinachakaa zinaanza kuvuja etc.
Hapo bado water pump na thermostat wake ambao life time yao ni 120,000 km. Hapo milion jiandae.
Shockups, 600k
ATF, andaa 1M hivi.
Plugs, 50k per pc
Coils, 120k per pc
Oil, 20k/L unataka 7L
Hizi zikizeeka kila kitu kinataka kuchange. Bei dogo kujaza upepo tu.