Mtuhumiwa mkuu ambaye ni Mbunge bado tu hajakamatwa na kuhojiwa ?Leo mchana vijana walienda kuzuia gari ya serikali iliyokuwa inahamisha mizigo na vitu mbalimbali vya Gekul , mashaka ya vijana hawa walikuwa wanadai kuwa kuna mkakati wa kumtorosha mbunge huyo kipitia mpaka wa Kenya na Tanzania
Ni mashaka ambayo vijana walikuwa nayo..Mimi najua mbunge hawezi kukimbiambunge hawezi kutoroka
Kwani uliamini anaweza kufanya kilicho tokea au ni nduguyoNi mashaka ambayo vijana walikuwa nayo..Mimi najua mbunge hawezi kukimbia
Msemaji wa Chama Cha Mapinduzi,anasemaje kuhusu hili,au anasubiri mpaka Kamati Kuu au Halmashauri Kuu ikutane?, Mbona mambo mengine Chama kilikuwa kinatoa Maagizo huko Kanda ya Ziwa
Atasema nini ikiwa alichokifanya huyo Gekul ni CHA MTOTO kulinganisha na aliyowahi kuyafanya yeye!!?Msemaji wa Chama Cha Mapinduzi,anasemaje kuhusu hili,au anasubiri mpaka Kamati Kuu au Halmashauri Kuu ikutane?, Mbona mambo mengine Chama kilikuwa kinatoa Maagizo huko Kanda ya Ziwa
Du ameyatimba. Mie najua Kabila Hilo walivyo Yule Dogo hajadanganya hata sentensi moja na ukimsikiliza Mama Kenny Park kuna kitu amejaribu kukieleza .Naibu Waziri WA zamani 😁hili sio tukio lake la Kwanza.Leo mchana vijana walienda kuzuia gari ya serikali iliyokuwa inahamisha mizigo na vitu mbalimbali vya Gekul , mashaka ya vijana hawa walikuwa wanadai kuwa kuna mkakati wa kumtorosha mbunge huyo kipitia mpaka wa Kenya na Tanzania
Inawezekana anaipenda hiyo michezo ya kwa mp....ngeKuanzia sasa Nikimuona Pauline Gekul nitamuita "Gekul Machupa"
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Yupo mtaani anakula bataMtuhumiwa mkuu ambaye ni Mbunge bado tu hajakamatwa na kuhojiwa ?