Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Mtuhumiwa mkuu ambaye ni Mbunge bado tu hajakamatwa na kuhojiwa ?Leo mchana vijana walienda kuzuia gari ya serikali iliyokuwa inahamisha mizigo na vitu mbalimbali vya Gekul , mashaka ya vijana hawa walikuwa wanadai kuwa kuna mkakati wa kumtorosha mbunge huyo kipitia mpaka wa Kenya na Tanzania