Zipo tabia zinazoashiria kwamba mhusika hataishi maisha marefu. Je, wewe uko kwenye kundi hilo?

Nilicho andika ni sahihi kabisa.Chunguza Watu wanaokufa mapema wana tabia gani,and come back to me.I have done it na nimeona ni kweli.Even the Bible says sin kills.

Unaposema kufa mapema unamaanisha miaka mingapi?

Narudia tena, tofautisha dalili na tabia.
Bora ungeandika tabia zinazoweza sababisha vifo kizembe.
 
Unaposema kufa mapema unamaanisha miaka mingapi?

Narudia tena, tofautisha dalili na tabia.
Bora ungeandika tabia zinazoweza sababisha vifo kizembe.
Discuss issue iliyoko mezani.Unaweza kuziita tabia au dalili ukweli unabaki palepale,semantics hazitakusaidia sana.Tabia or if you like dalili hizo kwa mtu anayekuangalia anapata picha moja tu,you will probably die early.To me before 80 is early!Mungu anataka tushibe siku.
 
Nawaona wazee wa kupiga masanga mnavyojenga hoja.

Ila kufa kupo tu hata ufanyeje mkuu, utaacha starehe na vingine lakini kifo kipo pale pale.
 
No: 3 na no: 6 siungi mkono hoja, labda nikupe mfano kidogo tu simba alieko mbugani huishi miaka isiyozidi 13 lkn simba alie zoo huishi zaidi ya miaka 18,

Fanya hivi tafuta makinda ya mbwa mawili then mmoja mtunze vzr nyumbani kisha mwingine muache awe mzululaji mtaani harafu uone yupi ataishi umri mrefu

Hapa inatakiwa tujari sana chakula bora, narudia tena chakula bora,,, 89% ya magojwa huanzia tumboni

Harafu kukaa juani sana, kazi ngumu kupitiliza pia huzeesha mapema, usiwafanye watu wanaofanya kazi ngumu juani waendee kuamini upotofu kuwa kazi hizo ni mazoezi watakufa mapema,,,, ila sio kwamba wasifanye sasa, sema wafanye kwa malengo sio wategee kazi ngumu maisha yao yote

Yaani nguvu inapotea mwili unachoka, usidhani nguvu hurudi au chukua wanawake wenye umri sawa mmoja awe na watoto wanne harafu mwingine hana mtoto kabisa uone kama watalingana japo wana umri sawa

Kuhusu kuamini Mungu ndo kuishi umri mrefu ipo hivi fanya utafti mdogo fuatilia historia ya binadamu wa kale na wa sasa wapi waliishi\wanaishi mda mrefu na wapi wanaomjua Mungu zaidi (yaani kuabudu imani ya kigeni zaidi) maana wao hawakuwa na dini hizi ambazo tunaaminishwa kuwa ndio za Mungu wa kweli na wazee wetu waliamini mzimu (eti ushetani)
 
Ajali mfano landslides, mafuriko, moto, gari, vinaingia katika kundi lipi??

Everyday is Saturday............................ 😎
 

Ikiwa chini ya 80 inamaana hata Yesu alikufa mapema sawa? Ndio maana nakwambia unahoja ila umekosea kuipangilia na kuiweka sawa.

Inamaana wanaokufa chini ya 80 wote ni wa hilo kundi ulilolitaja hapo juu kwamba wanapenda anasa?

Kwa hiyo tafsiri yako ya umri irudie tena.
Kuna kundi kubwa sana la watu wasiojihusisha na hayo mambo wanakufa kabla ya kufikia 80.

Mwisho, ki Biblia, kifo kinamaana zaidi ya kifo cha kimwili. Ndio maana unaambiwa mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Mm,Bwana Yesu anakujaje hapa tena.Bwana Yesu alikuja for a special mission,kumkomboa mwanadamu, so huwezi kumlinganisha na mwanadamu wa kawaida.And then kumbuka kwamba God wants us to leave at least for not less than 80 yrs,so anything before that is premature death.
 
Bila kuzingatia namba 6 unaweza kulambwa na kifo anytime. Wengi sana wanapotezwa hapo.
 
Bila kuzingatia namba 6 unaweza kulambwa na kifo anytime. Wengi sana wanapotezwa hapo.
Kuzingatia namba sita(6) maana yake ni nini mkuu,una maana kumzingatia Shetani?Maana Shetani is also identified by the number 666!
 
Hiyo no 1 hapana
Angalia huko nchi za mbele watu wanaponda starehe ujanani mpka uzeeni...kufa kupo tu...
Wengne ni majambazi toka enzi za Nyerere hadi leo wapo hai
 
Kuzingatia namba sita(6) maana yake ni nini mkuu,una maana kumzingatia Shetani?Maana Shetani is also identified by the number 666!
Okay namaanisha mambo ya Mungu sio shetani. Shetani ndio anahusika na vifo vya kabla ya wakati.
 
Hata ukiishi miaka 1,000 itakusaidia nini? Binadamu bana [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Okay namaanisha mambo ya Mungu sio shetani. Shetani ndio anahusika na vifo vya kabla ya wakati.
Okay,ila the God of Israel is not identified by the number 6.
 

Hapa ungelenga moja kwa moja kwamba watu waache dhambi kwa manufaa ya sasa na baadae. Ungeeleweka zaidi

Hii kuzunguka mara dalili za kukaribia kufa au kufa mapema unapoteza maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…