Ni swali zuri sana.Kwanza naomba nikueleweshe juu ya huyu Mungu ninaye mzungumzia,kwa kuwa siku hizi kuna miungu wengi. Hata pesa ni mungu kwa watu wengine,na hata mpira!Shetani pia ni mungu kwa Watu wengine.Yapo madhehebu yanayo muabudu Shetani.Freemasons wanamuabudu Shetani,ingawa wana kataa,lakini huo ndio ukweli.Sasa ni Mungu yupi ninaye muongelea hapa?It's the God of Abraham and Jakob,the God who created you and me,the God who created the Universe and all that is in it.Sasa utaishije bila huyu Mungu.Kwanza ni lazima uamini kwamba yupo.This is very basic.Than uamini kwamba alikuja katika mwili,akamwaga damu yake msalabani at Calvary ili sisi tuweze kusamehewa dhambi.You also have to believe that Jesus Christ is the son of God.If you do this you will receive the Holy Spirit,Who will guide you in all truth and enable you to live a righteous life,and therefore in him.Bila hivyo utakuwa unaishi bila huyu Mungu.