Kwani eating junk food ni dhambi.I wanted to be specific.Hapa ungelenga moja kwa moja kwamba watu waache dhambi kwa manufaa ya sasa na baadae. Ungeeleweka zaidi
Hii kuzunguka mara dalili za kukaribia kufa au kufa mapema unapoteza maana.
Kwani eating junk food ni dhambi.I wanted to be specific.
umeua mkuuMkuu hizi ni dalili au tabia?
Pia unawezaje kusema au kudhani mtu fulani atakufa mapema eti kisa ana tabia fulani fulani? Unapata wapi huo ujasiri Mkuu?
Kifo hakina formula mkuu,kinaweza kukupitia wewe ukiwa umelala zako ndani na kikawaacha salama wana wanaopiga Masanga Pub muda huo. Kinaweza kikamjeruhi bodaboa anaedrive hovyo na kumuua mtembea kwa miguu anaezingatia sheria/taratibu zote.
Wapo walio kuwa ni wakemeaji wazuri wa hayo tunayoyaita maovu mfano: Sigara na Pombe ila ajabu wao ndio walianza kufa na hao walevi na wavuta sigara wakawazika.
So linapofikia suala la kifo liache tu kwasababu si mimi wala wewe ambaeanajua atakufaje.
Sawa mkuu, wewe utaishi milele. Tuache tujipigie tungi. 50-65yrs inatosha Sana. Uzee wa nini?Samahani,hata kama hupendi,lakini ni pombe yeyote mkuu.Labda umekulia kwenye makabila au dini ambazo zimehalalisha pombe,lakini hiyo haina maana kwamba ni halali.Kumbuka kwamba,ipo njia ionekayo machoni pa mtu kuwa sawa,lakini mwisho wake ni mauti.
Acha upumbavu.Unazungumzia Pombe gani.Koma kabisa kuilinganisha Safari na Utopolo
Kwa kawaida maisha ya binadamu mwisho wake huwa ni kufa,kwa hiyo kila mwenye pumzi ni lazima siku moja ataonja mauti.Hata hivyo wapo watu wengi wanaokufa mapema na kijinga kabla ya muda aliopanga Mungu.
Kuna viashiria fulani ambavyo huweza kuonyesha kwamba watu fulani huenda wakapoteza maisha mapema kutokana na mfumo wao wa maisha.
Miongoni mwa dalili ambazo huweza kuashiria kwamba mhusika anaweza kuwa na maisha mafupi duniani ni pamoja na hizi zifuatazo.
1.Watu wanaopenda anasa na starehe.
Watu wa aina hii huwa katika hatari ya kupoteza maisha haraka hata kabla ya siku zao kutokana na kuwa na hatari kubwa ya kupatwa na magonjwa mbalimbali yakiwemo yatokanayo na zinaa.Hatuna budi pia kukumbuka kwamba dhambi inaua.
2. Wavutaji wa sigara.
Watu wanaovuta
Watu wanaovuta sigara huwa katika hatari ya kuishi maisha mafupi zaidi kuliko wale ambao hawatumii sigara kwani watu wa aina hii huwa katika hatari ya kukumbwa na magonjwa kama saratani,kisukari,magonjwa ya moyo nk. ambayo huweza kukatisha uhai wa mhusika hata kabla ya siku zake.
3. Kutofanya mazoezi au kukaa bila kazi
Watu ambao huwa miili yao haina mazoezi kabisa nao huwa katika hatari ya kupoteza maisha mapema kutokana na kushambuliwa na magonjwa yasiyoambukiza kama vile shinikizo la damu, kisukari nk.
4. Unywaji wa pombe.
Watumiaji wa vileo na huwa katika hatari ya kupoteza maisha yao mapema kutokana na mambo matatu makuu.
a) Kupata ajali kutokana na kutumia vyombo vya moto wakati wakiwa wamelewa na baadaye kujikuta wanapoteza maisha.
b) Ugomvi ambao huweza kuibuka kutokana na mihemko ya vilevi wanavyokuwa wamekunywa na kuweza kusababisha ugomvi mkubwa. Mfano kupigana na chupa na baadaye kupoteza uhai.
c. Magonjwa .
i.Magonjwa ya moyo.
ii.Ugonjwa sugu wa kongosho.
iii.Ugonjwa wa ini kutokana na pombe, iv. Kansa
v.Uharibifu kwa mfumo mkuu wa neva na mfumo wa neva za pembeni.Hii inaweza kusababishwa matumizi kila mara ya pombe na hatimaye kifo.Matumizi ya pombe kupita kiasi kwa muda mrefu yanaweza kuharibu takribani kila kiungo na mfumo katika mwili.Ubongo unaokua wa kijana aliyebaleghe huwa hasa katika hatari kubwa ya kudhurika na sumu ya pombe.
5. Ulaji wa vyakula vya viwandani.
Mara nyingi vyakula hivi havina faida yeyote mwilini na hivyo huitwa junk foods.Ni vitamu sana,na vimetengezwa hivyo ili watu watamani kuvila.Vyakula hivi ni hatari sana kwa afya zetu,na hivyo ni vema tukaviepuka kabisa.Vyakula hivi huleta magonjwa mengi kama kisukari,magonjwa ya moyo,pressure,cancer nk.
Kuna wale ambao mara nyingi wamekuwa wakila vyakula vya makopo ambavyo vinapotumiwa mara kwa mara huweza kuwa na madhara kadhaa,yakiwemo tatizo la saratani. Hivyo kundi hili nalo linaweza kuwa katika hatari ya kupoteza maisha kabla ya siku zao.
6.Kuishi bila Mungu.
Hatuna budi kama binadamu kukumbuka kwamba sisi ni viumbe vya Mungu na kwamba Mungu ametuumba kwa makusudi ya kumuabudu na kutimiza malengo yake kwa wanadamu wengine. Kama tusipofanya hivyo,hakuna sababu yeyote ya sisi kuendelea kuishi duniani,kwa hiyo Mungu huondoa ulinzi wake.
Katika mazingira hayo, Shetani husitisha uhai wetu kwa njia yeyote anayo ona inafaa.Hata hivyo Mungu ni mvumilivu sana,tukigeuka na kuacha uovu wetu,yeye ni muamifu na wa kutegewa,na hivyo hutusamehe uovu wetu wote.
Sitaishi milele mkuu,na kwanza hakuna mtu anayeishi milele,ila najitahidi ili niweze kuishi miaka Mungu aliyonipangia,sitaki kufa premature death.Sawa mkuu, wewe utaishi milele. Tuache tujipigie tungi. 50-65yrs inatosha Sana. Uzee wa nini?
Mkuu amka,CV-19 kama ukiishi a smart life,si rahisi kukupata.Wanaokufa kwa CV-19 ni wale wenye underlying conditions,Sukari,Cancer nk.magonjwa ambayo yanaletwa na mfumo mbovu wa maisha.Maisha marefu ni bahati kwa huku nchi za giza, ulaya Wana mikakati fulani fulani ya kuweka afya za raia zao smart , lakini pia unaona corona ilivyokuja kuharibu , hata kwako kwansasa swala la kuishi ni bahati vile vile
Sent
Usitie moyo,vyakula vya viwandani ni vibaya sana na vinaua Wazungu sana,na ndio maana Ulaya organic foods are very expensive.Kwa bahati mbaya wametambua umuhinu wake when it is too late na wamesha athirika sana.Sisi tunazungumzia magonjwa machache tu ya magonjwa yasiyo ambukiza,Ulaya na Marekani ni zaidi,msidanganywe. Halafu hiyo notion ya life expectancy si kaileta Mzungu mkuu kwa nia ovu,after all wamepimaje,mbona ni maruerue tu.Ulishawaona wakipima?Babu yangu aliishi miaka 95,Baba 92 years,Mama Sasa ana 86 yrs utaniambiaje tunakufa mapema.Ni uongo mtupu.Mimi nimekaa Norway,Sweden na Marekani,nimeona vijana wakifa sana na wala sikuona wazee kihivyo.Na ngoja nikuambie wanateseka sana na magonjwa yaletwayo na style of life.Hawa watu msiwaamini sana, wanatumia kila mbinu chafu kutuletea hofu.Ulaji wa vyakula vya viwandani apo naweza kukupiga.
Nchi zenye life expectancy kubwa ndyo zinazoongoza kula vyakula vya viwandani.
Nchi za africa tunakula vyakula wa asili ila life expectancy ipo chini sana
Chini ya miaka 80 ni maisha mafupi,kwa kuwa mpango wa Mungu ni wewe kuishi at least for not less than 80 yrs.Na nadhani unalijua hili unataka kuleta porojo tu.
Watoto wagogo immune system yao ni ndogo sana,kwa hiyo kufa sio ajabu!Kwanza inawezekana alikuwa na underlying condition.Style of life ya wazazi inaathiri sana watoto,kwa hiyo hatuna budi sisi wazazi kuwa makini sana.Juzi hapa kitaa kwetu kuna mtoto mchanga kafa,