Haaa!Samahani,hata kama hupendi,lakini ni pombe yeyote mkuu.Labda umekulia kwenye makabila au dini ambazo zimehalalisha pombe,lakini hiyo haina maana kwamba ni halali.Kumbuka kwamba,ipo njia ionekayo machoni pa mtu kuwa sawa,lakini mwisho wake ni mauti.
Mkuu wewe utaishi kama miaka 120 hivi.Nilicho andika ni sahihi kabisa.Chunguza Watu wanaokufa mapema wana tabia gani,and come back to me.I have done it na nimeona ni kweli.Even the Bible says sin kills.
Sawa kwa Hiyo watu wote waliokufa kabla ya 80 wana tabia ulizoeleza hapo juu. Harafu mpango wa Mungu unaujua wewe?. Wapi Mungu kasema watu waishi zaidi ya 80? Yesu mwenyewe mwanae aliondoka na 32. We ndo unaleta porojo hapa. Rudi maktaba ukajielemishe utofauti kati ya maisha maisha marefu na maisha angalifu. Kwa kukusaidia tu anza angalia TED hii presentation inaitwa “how living healthy nearly killed me”.
Umenena vema,kwa kuwa Mungu ndiyo aliyopanga kwamba niishi!Mkuu wewe utaishi kama miaka 120 hivi.
Ni swali zuri sana.Kwanza naomba nikueleweshe juu ya huyu Mungu ninaye mzungumzia,kwa kuwa siku hizi kuna miungu wengi. Hata pesa ni mungu kwa watu wengine,na hata mpira!Shetani pia ni mungu kwa Watu wengine.Yapo madhehebu yanayo muabudu Shetani.Freemasons wanamuabudu Shetani,ingawa wana kataa,lakini huo ndio ukweli.Sasa ni Mungu yupi ninaye muongelea hapa?It's the God of Abraham and Jakob,the God who created you and me,the God who created the Universe and all that is in it.Sasa utaishije bila huyu Mungu.Kwanza ni lazima uamini kwamba yupo.This is very basic.Than uamini kwamba alikuja katika mwili,akamwaga damu yake msalabani at Calvary ili sisi tuweze kusamehewa dhambi.You also have to believe that Jesus Christ is the son of God.If you do this you will receive the Holy Spirit,Who will guide you in all truth and enable you to live a righteous life,and therefore in him.Bila hivyo utakuwa unaishi bila huyu Mungu.Unaishije bila Mungu,naomba ufafanuzi.
Omba tu yasikukute !Mkuu amka,CV-19 kama ukiishi a smart life,si rahisi kukupata.Wanaokufa kwa CV-19 ni wale wenye underlying conditions,Sukari,Cancer nk.magonjwa ambayo yanaletwa na mfumo mbovu wa maisha.
Inawezekana kabisa kwamba alichelewa,alishi a smart life when things were already out of control,na hata mimi nimepoteza wengi kwa aina hiyo,sio wewe tu.Tunastuka when it is already too late.Na how smart was smart?Aliishi maisha ya kumpendeza Mungu?Mkuu haya mambo yako wazi,turejee Aden na tuishi maisha yanayompendeza Mungu,hatuna ujanja,kuzunga zunguuka Mbuyu haitatusaidia sana.Omba tu yasikukute !
Smart life !! Nimepoteza mtu tarehe mbili mwezi huu ,he was even smarter , katika maisha yake sikuwahi kumuona anatumia sukari kwenye chai , pombe , chipsi , kuku wa kisasa, wala sigara , na alikuwa vyakula vyake vingi Ni vya asili na hata miaka hamsini hakufika . Last full body check up alifanya mwezi wa tano peramiho and he was good in all aspects.
The guy ticked all the box kwa hao tunaambiwa wanaweza survive corona . Yet imemuondoa
Narudia tena omba Sana yasikukute omba sana
Sent
Ipo formula na ni hiyo niliyoilezea,please change your mind set.Huwezi kuishi maisha ya hovyo utegemee kuishi maisha marefu,that is a misconception.Huwezi kuwa na maisha ya indiscriminate sex kwa mfano halafu uwe na maisha marefu,that is unthinkable.Maisha no bahati hakuna uhodari au formula ya kusema kuwa utaishi miaka mingi,
Sent
6.Kuishi bila Mungu. ==living dead!
Kwa kawaida maisha ya binadamu mwisho wake huwa ni kufa,kwa hiyo kila mwenye pumzi ni lazima siku moja ataonja mauti.Hata hivyo wapo watu wengi wanaokufa mapema na kijinga kabla ya muda aliopanga Mungu.
Kuna viashiria fulani ambavyo huweza kuonyesha kwamba watu fulani huenda wakapoteza maisha mapema kutokana na mfumo wao wa maisha.
Miongoni mwa dalili ambazo huweza kuashiria kwamba mhusika anaweza kuwa na maisha mafupi duniani ni pamoja na hizi zifuatazo.
1.Watu wanaopenda anasa na starehe.
Watu wa aina hii huwa katika hatari ya kupoteza maisha haraka hata kabla ya siku zao kutokana na kuwa na hatari kubwa ya kupatwa na magonjwa mbalimbali yakiwemo yatokanayo na zinaa.Hatuna budi pia kukumbuka kwamba dhambi inaua.
2. Wavutaji wa sigara.
Watu wanaovuta
Watu wanaovuta sigara huwa katika hatari ya kuishi maisha mafupi zaidi kuliko wale ambao hawatumii sigara kwani watu wa aina hii huwa katika hatari ya kukumbwa na magonjwa kama saratani,kisukari,magonjwa ya moyo nk. ambayo huweza kukatisha uhai wa mhusika hata kabla ya siku zake.
3. Kutofanya mazoezi au kukaa bila kazi
Watu ambao huwa miili yao haina mazoezi kabisa nao huwa katika hatari ya kupoteza maisha mapema kutokana na kushambuliwa na magonjwa yasiyoambukiza kama vile shinikizo la damu, kisukari nk.
4. Unywaji wa pombe.
Watumiaji wa vileo na huwa katika hatari ya kupoteza maisha yao mapema kutokana na mambo matatu makuu.
a) Kupata ajali kutokana na kutumia vyombo vya moto wakati wakiwa wamelewa na baadaye kujikuta wanapoteza maisha.
b) Ugomvi ambao huweza kuibuka kutokana na mihemko ya vilevi wanavyokuwa wamekunywa na kuweza kusababisha ugomvi mkubwa. Mfano kupigana na chupa na baadaye kupoteza uhai.
c. Magonjwa .
i.Magonjwa ya moyo.
ii.Ugonjwa sugu wa kongosho.
iii.Ugonjwa wa ini kutokana na pombe, iv. Kansa
v.Uharibifu kwa mfumo mkuu wa neva na mfumo wa neva za pembeni.Hii inaweza kusababishwa matumizi kila mara ya pombe na hatimaye kifo.Matumizi ya pombe kupita kiasi kwa muda mrefu yanaweza kuharibu takribani kila kiungo na mfumo katika mwili.Ubongo unaokua wa kijana aliyebaleghe huwa hasa katika hatari kubwa ya kudhurika na sumu ya pombe.
5. Ulaji wa vyakula vya viwandani.
Mara nyingi vyakula hivi havina faida yeyote mwilini na hivyo huitwa junk foods.Ni vitamu sana,na vimetengezwa hivyo ili watu watamani kuvila.Vyakula hivi ni hatari sana kwa afya zetu,na hivyo ni vema tukaviepuka kabisa.Vyakula hivi huleta magonjwa mengi kama kisukari,magonjwa ya moyo,pressure,cancer nk.
Kuna wale ambao mara nyingi wamekuwa wakila vyakula vya makopo ambavyo vinapotumiwa mara kwa mara huweza kuwa na madhara kadhaa,yakiwemo tatizo la saratani. Hivyo kundi hili nalo linaweza kuwa katika hatari ya kupoteza maisha kabla ya siku zao.
6.Kuishi bila Mungu.
Hatuna budi kama binadamu kukumbuka kwamba sisi ni viumbe vya Mungu na kwamba Mungu ametuumba kwa makusudi ya kumuabudu na kutimiza malengo yake kwa wanadamu wengine. Kama tusipofanya hivyo,hakuna sababu yeyote ya sisi kuendelea kuishi duniani,kwa hiyo Mungu huondoa ulinzi wake.
Katika mazingira hayo, Shetani husitisha uhai wetu kwa njia yeyote anayo ona inafaa.Hata hivyo Mungu ni mvumilivu sana,tukigeuka na kuacha uovu wetu,yeye ni muamifu na wa kutegewa,na hivyo hutusamehe uovu wetu wote.
Mkuu reaction of our bodies to anything it be pathogen,toxin or any other harmful thing differs from one individual to the other.Ndio maana mnakaa kwenye environment moja with mosquitoes mmoja anapata Malaria mwingine hapati,mwingine anateseka na allergy na mwingine hana.Ndivyo wanadamu tulivyo.But generally pombe ni mbaya bodily and spiritually.Machapisho mengi ya kitaalamu yanaonyesha ubaya wa pombe and we see this all around us.Kama pombe isingekuwa mbaya isinge orodheshwa kwenye madawa ya kulevya mkuu.Kama unakunywa acha tu mkuu,mbona pombe haina faida yeyote,sana sana ni hatari kwa afya yako.Pesa unayotumia kwenye pombe ungetumia kwa ndugu zako,familia yako,kuwapa maskini,kwenye kumtumikia Mungu ungepata dhawabu sana mbele za Mungu.Hio ya unywaji pombe siiamini, Sababu kuna mzee jirani yetu yeye hunywa pombe vizuri tangu napata ufaham na mpka leo anakunywa anakaribia 90yrs
Kwa Hiyo vyakula vya Kiwandani Ni Haramu?Samahani,hata kama hupendi,lakini ni pombe yeyote mkuu.Labda umekulia kwenye makabila au dini ambazo zimehalalisha pombe,lakini hiyo haina maana kwamba ni halali.Kumbuka kwamba,ipo njia ionekayo machoni pa mtu kuwa sawa,lakini mwisho wake ni mauti.
Watoto wachanga hawana kinga ya kutosha bado,na hawa mara nyingi kufa kwao kunatokana na tabia zetu mbaya.Hivi unatumia uzazi wa mpango unategemea mtoto wako awe salama kweli?Itakuwa ajabu.At most atazaliwa dead,atafia tumboni,na hata akizaliwa hai maisha yake yatakuwa mafupi sana.Binti tunahusika moja kwa moja na our premature deaths,we must change our life styles,kuzunguka zunguuka Mbuyu hakutatusaidia sana.Maisha anayajua Mungu yy aliyekuumba uje lini uondoke lini. Vipi watoto wachanga wanavyokufa?
Ni haramu kwa kuwa vinafupisha maisha yetu.Let me tell you this,your body is a natural system,kwa hiyo unatakiwa kuingiza humo something natural.Ukiingiza anything unnatural unajitafutia matatizo makubwa.Huo ndio ukweli.Kujifanyia fanyia tu mambo na kula kula hovyo ndiko kumetufikisha hapa tulipo leo:immature deaths as a result of many incurable and uninfectious diseases.Tubadilishe mfumo wetu wa maisha kama tunataka kupona.Hali ni mbaya sana.Kwa Hiyo vyakula vya Kiwandani Ni Haramu?
Kila mtu na Maisha take hata wewe utakufa pia.
We angalia sura ya mleta mada ilivyofubaa na kuchakaa.No: 3 na no: 6 siungi mkono hoja, labda nikupe mfano kidogo tu simba alieko mbugani huishi miaka isiyozidi 13 lkn simba alie zoo huishi zaidi ya miaka 18,
Fanya hivi tafuta makinda ya mbwa mawili then mmoja mtunze vzr nyumbani kisha mwingine muache awe mzululaji mtaani harafu uone yupi ataishi umri mrefu
Hapa inatakiwa tujari sana chakula bora, narudia tena chakula bora,,, 89% ya magojwa huanzia tumboni
Harafu kukaa juani sana, kazi ngumu kupitiliza pia huzeesha mapema, usiwafanye watu wanaofanya kazi ngumu juani waendee kuamini upotofu kuwa kazi hizo ni mazoezi watakufa mapema,,,, ila sio kwamba wasifanye sasa, sema wafanye kwa malengo sio wategee kazi ngumu maisha yao yote
Yaani nguvu inapotea mwili unachoka, usidhani nguvu hurudi au chukua wanawake wenye umri sawa mmoja awe na watoto wanne harafu mwingine hana mtoto kabisa uone kama watalingana japo wana umri sawa
Kuhusu kuamini Mungu ndo kuishi umri mrefu ipo hivi fanya utafti mdogo fuatilia historia ya binadamu wa kale na wa sasa wapi waliishi\wanaishi mda mrefu na wapi wanaomjua Mungu zaidi (yaani kuabudu imani ya kigeni zaidi) maana wao hawakuwa na dini hizi ambazo tunaaminishwa kuwa ndio za Mungu wa kweli na wazee wetu waliamini mzimu (eti ushetani)