Zipo tabia zinazoashiria kwamba mhusika hataishi maisha marefu. Je, wewe uko kwenye kundi hilo?

Msura wako umechakaa na kufubaa sana! Unaonesha wazi kifo kipo karibu yako.
 
Hao Scandinavians wanakula vyakula vibovu balaaa na wana maisha marefu unasemaje

Sent
 
Hao Scandinavians wanakula vyakula vibovu balaaa na wana maisha marefu unasemaje

Sent
Una uhakika gani kwamba wanaishi maisha marefu sana wakati wanakula ovyo?Lete ushahidi wako hapa.Halafu usijilinganishe na wenzio wale,wao wana huduma nzuri zaidi za afya,wewe ukipata ugonjwa wa moyo unapukutika mara moja.Hata hivyo kwa taarifa yako nchi zinazo ongoza kwa magonjwa yasiyotibika ni Ulaya na Marekani,kinachowasaidia kiasi fulani kama nilivyo sema ni huduma nzuri za afya.Acha kujipa moyo,badili mfumo wako wa maisha.
 
Ni wivu tu
Wivu gani sasa,hebu niambie.Yaani nikuonee wivu kwa kuwa unajiua pole pole,jamani!Nakupa ushauri wa bure,halafu unaniambia nina wivu.Unprecedented.Unajua,dawa sio kutoroka ukweli,dawa ni kuchukua hatua,hali ni mbaya,badilika.
 
Vyakula vya asili ulaya vilishapotea siku nyingi sana kote huko ni organics na junk foods tu
Halafu nakukumbusha uzi wako unazungumzia tabia zinazoashiria kuwa hutaishi mapema , hayo mambo ya kuwa ulaya Wana huduma nzuri za afya yanatoka wapi? Huoni kuwa unaanza ku derail uzi wako mwenyewe?

Sent
 


Areafiftyone yuko sahihi. Ameeleza kwa ufasaha msingi wa maelezo yake yaani sababu za kibiblia na sababu za kisayansi. Ukisoma tena utaelewa hivyo hutakuwa na sababu ya kuuliza "anatoa wapi ujasiri". Yuko wazi kabisa. Labda tu hujapendezwa na taarifa yenyewe na hivyo ukaona ujilazimishe kumshangaa tu.

Nyingine hii hapa sasa mwulize na Mungu anatoa wapi ujasiri wa kusema kuna watu hawataishi hata nusu ya maisha yao:

Zaburi 55:23 Nawe, Ee Mungu, utawatelemsha, Walifikilie shimo la uharibifu; Watu wa damu na hila hawataishi nusu ya siku zao, Bali mimi nitakutumaini Wewe.
 
Maneno ya mfa maji hayo, kwanza hiyo sio mada.Jadili mada iliyoko mezani.
We mbn umewaambia wenzio wamechakaa kwa pombe?

Vipi wewe usiefanya anasa hiyo sura imechakazwa na nini?
 
"Kufa kabla ya siku zako" hii kauli huwa ni uongo mkubwa sana, hakuna toka dunia iumbwe mtu aliyekufa kabla ya siku zake..ukifa wakati wowote ule basi huo ndio ulikuwa wakati sahihi wa kuachana na dunia hii.

Maktoub.
 

This is pure class. Masterclass of Salvation 101!
 
Aisee we jamaa umetoa point tupu! Hakuna mtu anayeweza kuchomoka maana umegusa nyanja zote.
 
Kuwa na huduma nzuri za afya haina maana kwamba hawaugui wanaugua na kunyongea mwishoni wanakufa!Case ambayo labda unaweza kuikumbuka kwa urahisi na vizuri ni ya the renowned fighter Mohamed Ali.Aliugua kwa muda mrefu sana na akaseka sana na hatimaye alikufa.You like this?Surely no.

Nilikuwa Ulaya sio siku nyingi sana, na nilipokwenda yapo masoko ambapo wakulima wanaleta mazao ya shambani kila Jumatano na Jumamosi kwa hiyo watu wananunua.Usijidanganye.In addition wenzio wameshajua ubaya wa vyakula vya viwandani,so they are back to organics.Kama umechelewa ni wewe,stuka mkuu watakumaliza.Kwanza "heshima nyumbani itapotea,na siajabu imeshapotea," na makansa na visukari juu,utakuwa mgeni wa nani?
 
We mbn umewaambia wenzio wamechakaa kwa pombe?

Vipi wewe usiefanya anasa hiyo sura imechakazwa na nini?
Wewe akili yako mbaya sana na umefirisika kimawazo,discuss hoja iliyoko mezani,usi-discuss individuals.Halafuu,
hivi unategemea mtu wa miaka sitini afanane na kijana wa miaka arobaini.Natamani sana kukuona ukiwa sixty kama mimi!Sijui kama utafaa hata kuangalia.

I am so fit mentally na physically kwa taarifa yako I am sure more than you.Hapa nadai 30 more years kwa uchache!
 
Aisee we jamaa umetoa point tupu! Hakuna mtu anayeweza kuchomoka maana umegusa nyanja zote.
Mkuu bado wanachomoka,wanaziba masikio kwa pamba.Ila mimi nimesema,nakung'uta mavumbi,damu yao sidaiwi.
 
Wengine wanataka kuishi maisha mafupi matamu, hawataki maisha marefu yasiyo na furaha.
 
Wengine wanataka kuishi maisha mafupi matamu, hawataki maisha marefu yasiyo na furaha.
Kwa hiyo ufe na miaka 40 eh.You can be 80 and be happy if you adopt a smart life.Ni lazima watoto wako,wajukuu zako na vitukuu vyako vikuone na viku-enjoy,huo ndio mpango wa Mungu.Hivi hamjui kwamba kufa mapema ni laana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…