Zipo tabia zinazoashiria kwamba mhusika hataishi maisha marefu. Je, wewe uko kwenye kundi hilo?

Kwa hiyo ufe na miaka 40 eh.You can be 80 and be happy if you adopt a smart life.Ni lazima watoto wako,wajukuu zako na vitukuu vyako vikuone na viku-enjoy,huo ndio mpango wa Mungu.Hivi hamjui kwamba kufa mapema ni laana?
Kwa nini unalazimisha kila mtu awe na mtoto.

2Pac kaishi maisha yake kafariki kijana kaacha historia.

Ni legend, hakuacha mtoto.

Kaishi maisha yake alivyotaka.

Sasa mtu kama huyo akikwambia hataki maisha marefu, hataki kuoata watoto, anataka maisha mafupi afanye anachotaka wewe tatizo lako nini?

Unapiandika lazima mtu awe na watoto wewe ni nani mpaka umlazimishe mtu mwingine kuwa na watoto?

Wewe unayependa mtu awe na watoto ukilazimishwa usiwe na watoto utafurahi?
 
Mtu huishi nyakati mbili na nusu wakati
 
Wewe Kiranga Mungu wako unamjua mwenyewe.Mimi bandiko langu ni kwa ajili ya watu wanao muamini the God of Ibrahim and Jacob.Walioko kwa Lucifer wanaweza ku-ignore uzi huu kwa kuwa sio nilio wa address.
 
Baba yangu mkubwa alikufa kwa ajali ya pkpk akiwa amelewa chakari!!kuna ukweli kwenye hicho ulichoandika!japo sio kwa asilimia zote!!!
 
Baba yangu mkubwa alikufa kwa ajali ya pkpk akiwa amelewa chakari!!kuna ukweli kwenye hicho ulichoandika!japo sio kwa asilimia zote!!!
 
Umesahau na hii moja : yoyote anae ishi lazima afe
 
Siku hizi naamini zaidi quality and impact of life zaidi ya urefu wa maisha.

Sitamani kabisa kuishi miaka mingi hafu yawe ya michosho na masumbufu.
 
Ujumbe mzuri.1 to 5 upo sahihi sana ila swala la imani ni too personal mkuu.
 
Tabia zinaweza kuwa viashiria tu ila sio ukweli wa mambo.
 
Tabia zinaweza kuwa viashiria tu ila sio ukweli wa mambo.
Haya mambo yamethibitishwa kwamba ni kweli bila shaka yeyote mkuu,kwa hiyo kama una tabia hizo badilika tu mkuu,ukichelewa it may be too late.
 
Ujumbe mzuri.1 to 5 upo sahihi sana ila swala la imani ni too personal mkuu.
Mkuu hakuna tabia yeyote hapo ambayo sio personal,sasa ukisema spirituality ndiyo peke yake personal sikuelewi,can you elaborate.
 
Unajidanganya sana!! 60 years sura imechujuka namna hiyo!! Wapo wenzio they look like 30s huko!!
 
ulivyosema vyote hivyo ni matokeo ya dini na tafiti za wazungu.... wazungu mmejua kushika fikra zetu kwakweli.
 
Unajidanganya sana!! 60 years sura imechujuka namna hiyo!! Wapo wenzio they look like 30s huko!!
Unajua,ni wazi hii mada imekutandika,au wewe ni mtumishi wa Shetani kwa kuwa hataki watu wapate ukweli kuhusu maisha yao mabaya,ambao unaweza kuwafanya wakabadilika.Kama sio mtumishi wa Shetani basi unajifariji kwa kutaka na mimi nijihisi nimepigika ili nikate tamaa kutoa elimu!Sitakata tamaa ng'o,uliposimiamia ndipo na mimi niliposimamia,after all many people have told me I look younger than my age!Narudia hutanikatisha tamaa katika resolve yangu ya kuelimisha watu,badala yake ndio umenihamadisha zaidi.Badala ya ku-discuss mada una-discuss mtu,kuna u-loon kama huo kweli,those are tactics of the Devil,tumezizoea.
 
Ivi anaijua ile raha ya kunywa grants harafu ukapiga na nyama choma???
Nyama choma na Grants!Kama sio kujiua mwenyewe ni nini.Kwanza hata red meat sio nzuri,na nyama choma ndio mbaya zaidi,kwa kuwa huwa haivi vizuri.Mkuu hiyo hela ya Grants ungewapa ndugu zako si wangekushukuru.Siamini kwamba kwamba there is no other better way to use that money.Pole sana mkuu,kama una mke na watoto utawaacha mapema sana wakihangaika,you better change.Hiyo Grants haina kitu cho chote cha faida kwa mwili wako why should you drink it,unaingiza tu sumu mwilini.Hivi kwa nini uingize mwilini mwako kitu ambacho hakina nutritive value yeyote na ni sumu?What makes you do that.Mkuu huo ni udanganyifu wa Shetani,amkaa...!Nakushauri with all due respect uache,you are not being fair to your life,body and family.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…