Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
- Thread starter
- #21
Nakushauri uje uone vitu live, kama huwezi kuja, jifunze taratibu, utayapata mengi, ndio kwanza tumeanza na kifaa aina moja tu, tena bado hujaona kazi zake zote.Mbona kama unapaniki? Niambie mafundi umeme na maji wakitindua ukuta ubora wa hizo tofali ukoje? Weka gharama zake kwa kila tofali ni bei gani kuuzwa au kufyatulia site bei huwa tsh ngapi!
Mfuko mmoja makadirio zinatoka ngapi kwa resho Kali ,
Ujenzi wa vipande kwenye maungio ukoje! Kwenye rinta hayo matundu mnayaziba na nini ili zege lisipitilize chini kwenye matundu ya tofali n.k
Hayo ndiyo yakuongea ili kuuza bidhaa yako
Hapa tunafundisha zaidi ya kutafuta soko, bidhaa zetu zina demand kubwa kuliko matarajio yote.
Tunawapa elimu Watanzania kua ujenzi si lazima uwe na mamilioni, unaanza kujenga kwa pesa za "beer".
Wateja wetu wengi ni wale ambao hawakua na fikra kua hata wao wanaweza kujenga.
Kuhusu maswali yako ya sasa hivi, jibu lake ninhivi...
Tunajivunia ubora wa bidhaa zetu kua ndio bidhaa pekee za ujenzi Tanzania hii utaponunua kama hujazitumia kwa sababubyiyitenile, hatuulizi, unarudishiwa pesa zako. (Money back guarantee, no question asked).
Mtuoneshe muundajji mwengine wa bidhaa za ujenzi, zinazofanana na zetu, afanyae hivyo Tanzania hii.
Natural jibu hilo litakua limejibu maswali yako, kama bado uliza tu zaidi. Sina sababu ya kupanick ni wasiwasi wako tu.