Zitambue bidhaa za ujenzi zinazookoa gharama za ujenzi

Zitambue bidhaa za ujenzi zinazookoa gharama za ujenzi

Takuja na project ya tofali za mchanga na plastic yaani mota ya kuunganisha tofali ni plastic badala ya mchanga hizi ni nzuri zinaitwa dead brick yaani hazifyonzi maji so haziwezi sapoti kitu hai mfano fungus, ukungu kwenye tofali ni nzuri kujengea maeneo yenye unyevu nyevu hazipitishi unyevu,haziliki na chemical yeyeto hata chumvi. Zinadumu miaka 500.
Zikija nistue
 
Unatumia kishoka cha mafundi uashi (masonry axe) kama hauna angle grinder ya concrete. Ukitumia mapanga kama tofari zilizozoeleka sokoni itabidi ununue panga jipya kila siku ni hizo ni tofari za zege zenye ubora wa hali ya juu.

Fundi "Maiko" lazima achemshe hapo.
Vipande si ununue ya kawaida kama hamsini uwe unakata vipande? kuna ubaya gani katika hilo.?
Vipande si ununue ya kawaida kama hamsini uwe unakata vipande? kuna ubaya gani katika hilo.?

Alishajibu mleta uzi
 
Wakati tunaendelea na ujenzi wa msingi kwa concrete hollow blocks,, hapa chini mtaona tumeanza kuwaonesha kifaa kingine cha kipekee, nacho ni hicho kinachojenga nguzo...

IMG-20220725-WA0091.jpg


Msingi unapanda na nguzo zinapanda wakati huohuo, bila kungoja na kupoteza muda kwa nguzo za kumwaga zege zilizozoeleka.

Hizo zinaitwa Abraar column blocks.
 
Wakati tunaendelea na ujenzi wa msingi kwa concrete hollow blocks,, haoa chini mtaona tumeanza kuwaonesha kifaa kingine cha kipekee, nacho ni hicho kinachojenga nguzo...

View attachment 2303693

Msingi unapanda na nguzo zinapanda wakati huohuo, bila kungoja na kupoteza muda kwa nguzo za kumwaga zege zilizozoeleka.

Hizo zinaitwa Abraar column blocks.

Wale wa fence suluhisho tayari hakuna haja ya kuteseka tena
 
Wabongo mnashida sana....wamisionary waliacha hydro ram pump ambayo haitumii umeme kupandisha maji lakini hamtaki kuzitumia. Mnabaki kukejeli tu! Mnaniudhi.
Kwenye uzi mzuri kama huu; inasikitisha utaona kuna watu wana AKILI ZA KIMASIKINI sana!

Hawajui kupongeza,
Hawajui kukosoa,
Hawajui kuelekeza...

Ila wapo kujifanya WAJUAJI!!!

Nampongeza dmkali ameuliza maswali chokozi ambayo ni ya msingi sana.

Kwa majibu ya mleta mada na wachangiaji wengine, basi mtu yeyote makini hapa anatoka na kitu!
 
Back
Top Bottom