TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Tumia angle cutter ama angle grinder! Achana na nyundo.Kwa watinduaji hizo tofali hollow ni changamoto
Kama unatindua kuweka mfumo wa bomba au umeme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia angle cutter ama angle grinder! Achana na nyundo.Kwa watinduaji hizo tofali hollow ni changamoto
Kama unatindua kuweka mfumo wa bomba au umeme
Unaongelea maeneo yenye umeme tayariTumia angle cutter ama angle grinder! Achana na nyundo.
Lakini Cost ya umeme inaweza kufidiwa kwa pungizo la gharama ya matofali yenyewe (punguzo 40-60%), sas kwenye punguzo utumia 4% kuleta generator hapo ukafanya kazi ya kukata kwa mashine kuna ubaya pia?Unaongelea maeneo yenye umeme tayari
Utatumia hivyo vifaa eneo ambalo umeme haujafika?.lakini unataka kuweka waya na mabomba
Nyundo ni cheap kuliko hayo made
Sababu gharama zinaongezeka za umeme tofauti na kutumia nyundo
Nyundo cost ya umeme haipo
Cost bado zinakuwa juuLakini Cost ya umeme inaweza kufidiwa kwa pungizo la gharama ya matofali yenyewe (punguzo 40-60%), sas kwenye punguzo utumia 4% kuleta generator hapo ukafanya kazi ya kukata kwa mashine kuna ubaya pia?
Nimeuliza kwa lengo zuri tu ila nikajibiwa kwa ukali kama vile ni kosa kuuliza;Kwenye uzi mzuri kama huu; inasikitisha utaona kuna watu wana AKILI ZA KIMASIKINI sana!
Hawajui kupongeza,
Hawajui kukosoa,
Hawajui kuelekeza...
Ila wapo kujifanya WAJUAJI!!!
Nampongeza dmkali ameuliza maswali chokozi ambayo ni ya msingi sana.
Kwa majibu ya mleta mada na wachangiaji wengine, basi mtu yeyote makini hapa anatoka na kitu!
Mwakani rasm production itaanzaZikija nistue
Zege humwagi unaliingiza kwa mwiko tu kwenye tundu zinapopita nondo tu. Inatumia zege kidogo sana ukilinganishaNimeona hiyo,sasa baada ya hapo si unamwaga zege?
Tumejibu mengi sana. Labda hujatusoma vizuri.Huna ulilojibu mkuu!, Kwan huwa mnapewa masharti na waganga kuwa msitaje bei na mengineyo au?
Jamaa kaulizia Bei zake zipoje, unakwepa kwepa tu, ndio tatizo ya biashara za masharti ya sangoma
Kama nilivyokufahamisha juu huko, sisi tumeanza kukusanya Raw materials za kuunda blocks za mchanganyiko wa plastic na vinginevyo. Kama una ujuzi au fikra zozote kwenye hayo, njoo tutembelee tubadilishane mawazo.Mwakani rasm production itaanza
Kama nilivyokuahidi juu hapo kua nitakutafutia picha ujionee. Nimeipata.Nimeona hiyo,sasa baada ya hapo si unamwaga zege?
Kuhusu suala la bei wanasema ujenzi' huu unapunguza gharama kati ya asilimia 40 mpaka 60. Tukichukulia punguzo la chini na tukasema tofali peke kupunguza asilimia ishirini ukizingatia Kuna punguzo la ufundi, Maji, cement nakadhalika. Basi yawezekana, tofali ni shilingi 800 kwa kipimo cha bei ya 1000 kwa tofali la kawaida la inchi 5!!!Nimeuliza kwa lengo zuri tu ila nikajibiwa kwa ukali kama vile ni kosa kuuliza;
1. Nimeuliza bei ya block anauzaje, sijajibiwa
2. Nimeuliza kuja kufyatulia site bei gani kwa block (excluding usafili) sijajibiwa
3. Nimeuliza hizo block mafundi umeme wanazitindua au hazitinduliki sijajibiwa nikaambiwa mnoko
4. Nikauliza mafundi bomba wanaweza pitisha mabomba kwa urahisi au maji yanapita dalini sijajibiwa
5. Nimeuliza kwenye Rita hayo matundu hutakiwa kuzibwa ili zege limiminwe? Pasipo kumwagikia ndani sijajibiwa
6. Nimeuliza gharama zikoje effective kwa watu wanaojenga kwa awamu, na je mafundi wetu wa mtaani wanaweza au hadi tuagize fundi misugusugu Sijajibiwa
7. Maungio na kona mkato wa sambusa vipande vyake vinaunganishwa au tofali hizi hazinaga vipande sijajibiwa
8. Nikauliza hizi tofali zina toa ngapi kwa mfuko mmoja kwa ratio standards sijajibiwa!
Sasa sijui kwanini watu wakali na bidhaa zao! Hii inanipa walakini ingawa nashida!
Bongo mtu anatengeneza kitu ili auze lakini ajabu hataki maswali kama vile kaunda bibilia!
Mkuu kama Kuna uwezekano majibu ungekuwa Unayaweza kwenye post ya kwanza ya uzi huu ili kurahisisha ufuatiliaji. Natanguliza shukrani.Tumejibu mengi sana. Labda hujatusoma vizuri.
Siku hizi kuna vifaa vya ujenzi, alivyovitaja mchangiaji hapo juu, vinatumia battery ya kujaza umeme kama vile simu. Kazi zimerahisishwa na zinakua nyepesi sana ukitumia nyenzo za kazi.Unaongelea maeneo yenye umeme tayari
Utatumia hivyo vifaa eneo ambalo umeme haujafika?.lakini unataka kuweka waya na mabomba
Nyundo ni cheap kuliko hayo madude ya angle cutter na grinder
Sababu gharama zinaongezeka za umeme tofauti na kutumia nyundo
Nyundo cost ya umeme haipo
Mbona tumekujibu juu huko kwenye post namba 17. Tusome vizuri, hatufanyi kejeli wala ujuba kwemye kazi zetu. Hakuna swali ambalo hatujibu kwa kaddiri ya ufahamu wetu.Nimeuliza kwa lengo zuri tu ila nikajibiwa kwa ukali kama vile ni kosa kuuliza;
1. Nimeuliza bei ya block anauzaje, sijajibiwa
2. Nimeuliza kuja kufyatulia site bei gani kwa block (excluding usafili) sijajibiwa
3. Nimeuliza hizo block mafundi umeme wanazitindua au hazitinduliki sijajibiwa nikaambiwa mnoko
4. Nikauliza mafundi bomba wanaweza pitisha mabomba kwa urahisi au maji yanapita dalini sijajibiwa
5. Nimeuliza kwenye Rita hayo matundu hutakiwa kuzibwa ili zege limiminwe? Pasipo kumwagikia ndani sijajibiwa
6. Nimeuliza gharama zikoje effective kwa watu wanaojenga kwa awamu, na je mafundi wetu wa mtaani wanaweza au hadi tuagize fundi misugusugu Sijajibiwa
7. Maungio na kona mkato wa sambusa vipande vyake vinaunganishwa au tofali hizi hazinaga vipande sijajibiwa
8. Nikauliza hizi tofali zina toa ngapi kwa mfuko mmoja kwa ratio standards sijajibiwa!
Sasa sijui kwanini watu wakali na bidhaa zao! Hii inanipa walakini ingawa nashida!
Bongo mtu anatengeneza kitu ili auze lakini ajabu hataki maswali kama vile kaunda bibilia!
Uyasemayo nisahihi kabisa.Kuhusu suala la bei wanasema ujenzi' huu unapunguza gharama kati ya asilimia 40 mpaka 60. Tukichukulia punguzo la chini na tukasema tofali peke kupunguza asilimia ishirini ukizingatia Kuna punguzo la ufundi, Maji, cement nakadhalika. Basi yawezekana, tofali ni shilingi 800 kwa kipimo cha bei ya 1000 kwa tofali la kawaida la inchi 5!!!
Mkuu nimejiongeza tu kukisia bei.
Nitafanya hivyo.Mkuu kama Kuna uwezekano majibu ungekuwa Unayaweza kwenye post ya kwanza ya uzi huu ili kurahisisha ufuatiliaji. Natanguliza shukrani.
Hapa inatakiwa uwe na vifuatavyoKama nilivyokufahamisha juu huko, sisi tumeanza kukusanya Raw materials za kuunda blocks za mchanganyiko wa plastic na vinginevyo. Kama una ujuzi au fikra zozote kwenye hayo, njoo tutembelee tubadilishane mawazo.
Hataki kujibu zaidi ya blaa blaa tu! Yuko tayali kueleza maelezo ya kujielezea kuliko kujibu maswali mhimu ambayo yangempa credit!Wakati wa plumbing ungetuoneshabkwa picha bomba zinawekwaje pamoja na bomba za umeme, na kwa unene wa hizo tofali ukidrill kutundika kitu chenye zaidi ya KG25 kama water heater za Astron utaweza kuhimili?
Switch socket za umeme box yake inakaaje?
Wakati wa plumbing ungetuoneshabkwa picha bomba zinawekwaje pamoja na bomba za umeme, na kwa unene wa hizo tofali ukidrill kutundika kitu chenye zaidi ya KG25 kama water heater za Astron utaweza kuhimili?
Switch socket za umeme box yake inakaaje?