jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,536
Njombe ndo mkoa unao ongoza kuwa na mademu wnye sura za baba ..... wenye sura ngumu tz nzimaAmbapo sikufafanua vizuri ruksa kurekebisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njombe ndo mkoa unao ongoza kuwa na mademu wnye sura za baba ..... wenye sura ngumu tz nzimaAmbapo sikufafanua vizuri ruksa kurekebisha.
Hii ya briquette ni kwa nn haitoboi? Nimeishia kuiona kama bidhaa ya maonesho tu yenyewe na mashine zake why Tanzania?Fursa nyingi, mfano maranda ya mbao unaweza tengeneza mkaa, au briquettes pellet ukaexport. Kuna mianzi ya kutosha unatengeneza bidhaa kibao za mianzi Mfano mkaa, mkaa wa kusafisha bidhaa za viwandani mfano mafuta nk, kutengeneza mbao , karatasi, vipodozi, nk
Mkuu sio Kwa Sasa hivi maeneo mengi njombe ni changanyikeni sana aisee. Jifunze Kwa mwenye mabasi ya ABC kawavuruga wenyeji wakina nyagawa. Mpaka wamepoteanaSijaona swala la ukabila mkoa wa njombe labda uanzishe wewe
Mkuu naomba nije Pm tuongee kuhusu huu mchongo wa dagaaUvuvi ziwa nyasa hasa ludewa hua naweka kambi kila mwezi wa saba hadi wa kumi nanunua dagaa nyasa wa kupeleka Angola na zimbabwe tatizo lenu hamjui hata kama mna hiyo fursa hua nakaa miezi mitatu pale ludewa 7-10.