Zitambue Mila za ajabu za kabila la Kayan

Nimependa tshirt zao,ila swali kwa mleta mada,inamaana na pingili za shingo hung'oka???au maana nazo zina kazi yake katika kukifanya kichwa kisimame!!!
Adaptation pingili zinarefuka.
 

Baadhi ya X-ray zinazoonyesha shingo ya mwanamke wa kabila la Kayan na nyingine ni ya mwanamke wa kawaida.
 

Kila mila ina ufafanuzi wake kuhusu neno "Urembo"
 

Sio sisi tu hata wakoloni wa Kiingereza na Kijapani walipofika Myanmar wakati huo ikiitwa Burma walipigwa na butwaa.
 
Wanawake bhn....hapa ndio naamin akipendacho mwanaume bhc mwanamke anafanya hchohcho....tukiamua hatuoi flat screen ,makalio kwa mtaa yatakuwa zaid ya HV sasa ....wanawake poleniii
 

Picha za X-ray zikionyesha shingo ya mwanamke wa kikayan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ