Zitambue Mila za ajabu za kabila la Kayan

Nasikia na wanaume wao huwa wanarefusha sehemu zao za siti kwa kutumia bangili ndogo ndogo kwa hiyo sioni kama kuna haja ya kusisimuana wakati mkonga unatosha.
Mmhh...mkonga peke ake hautoshi kusisimuana...wanamiss vitu hawa akyanani..
 
Sijapenda huo urembo nimeuchukia
Sidhani kama hata wao wanaupenda ila ni wanaume ndio wanaona ni urembo mzuri.

Ni sawa sawa na sisi huku akinadada wanavyohangaika kutoboa pua au kuvaa mawigi na kujipakaa mikorogo.
 
Mwanamke yeyote asipoangaliwa angaliwa na wanaume yoku radhi aende kwa mganga.
 
Mtumeee, jamani ni kutesena tu walahi!
Inasemekana kama umefanya kosa adhabu yako wanakuvua hizo bangili. utateseka sana coz zenyewe ndo kama egemeo/support ya hill shingo
 
Inasemekana kama umefanya kosa adhabu yako wanakuvua hizo bangili. utateseka sana coz zenyewe ndo kama egemeo/support ya hill shingo
Na mara nyingi huwa wakiteleza huwa wanapigiza vichwa vibaya na hata kusababisha kifo.
 

Kuna wanaume wengine huu kwao ni Urembo.
 

Ukistaajabu ya Asia utayaona ya Afrika huu ni urembo wa kimakua,bila :kujiremba" haolewi ng'o
 
Hili kabila linakaa Burma (Myanmar) na Thailand.kama wamasai vile wanagawanywa na mpaka.
 

Mrembo wa kinubi huko sudan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…