Huyu ni mtamu kwa denda [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 861773
Hata sisi waafrika baadhi yetu tuliwa tunavutiwa na "urembo" wa aina yake kama huyu mwanamke wa kimakonde huko Songea 1959.
hahahahahahahaaaaaaaaa mbao katika ubora wakoSasa hapo ungekuta Dada kama Hamisa Mobeto kazaliwa huko kisha wakavute shingo aisee angekuwa kama Kirungu.
Basi ni kinyume chake na wanawake wa Kikhoisan ambao hukivuta kinembe mpaka kinkuwa kirefu sana kadri kinembe kinavyokuwa kirafu ndio mahari nayo inaongezeka.Kuupata urembo ni kaazi kweli kweli. Wasio nazo hawaolewi. Kule kwetu Tarime, mwanamke asiye keketwa anatumalizia ng'ombe hivyo haolewi. Hata serekali ikilazimisha, watajikata wenyewe bila msaada wa ngariba ili tu aolewe
Basi ni kinyume chake na wanawake wa Kikhoisan ambao hukivuta kinembe mpaka kinkuwa kirefu sana kadri kinembe kinavyokuwa kirafu ndio mahari nayo inaongezeka.
Una hasira naye kama yeye ndiyo aliyekusababishia dhiki.Sasa hapo ungekuta Dada kama Hamisa Mobeto kazaliwa huko kisha wakavute shingo aisee angekuwa kama Kirungu.
Yaani kama kuna wanawake kulala na U*OOO tu ni shida, Je haya machuma?Mbona kazi kubwa sanaa kulala na chuma shingoni
Hawa wazuri kweliView attachment 862389
Wanawakw warembo kuliko wote duniani
Ipo na wenyewe wanafanya kama wananchi waoHakuna serikali huko?