Zitambue taratibu za Kufungua Maabara binafsi ya Afya na Makadirio ya Gharama zake

Inabidi uje na uzi wa dispensary.
Aisee kwa dunia ya leo ni afadhali ufungue tu maabara mbili na maduka ya dawa mawili kuliko kufungua kitu kinachoitwa dispensary, Aisee watu wezi sana, ukiajiri watu 10 wote hao uwalipe mshahara, hapohapo unashangaa wote 10 au 9 wanakuibia walahi utakoma. Nimeandika nikiwa na uzoefu wa miaka 6 sasa.

Njaa ya mtu moja kamwe huwezi kulinganisha na njaa ya watu 10
 
Mkuu asante sana kwa hili bandiko naomba kama itakupendeza uje na bandiko la muongozo wa kufungua kituo cha afya (health centre au Hospitali) nina mpango wa kuja Tanzania kufungua hospitali au kituo cha afya nina msukumo mno wa kufanya hilo jambo..
 
Aisee Kumbe mambo ni magumu huko,hakuna namna ya kudhibiti?
 
Mkuu ungetoa na makadirio ya kiasi cha pesa unachoweza kuingiza kwa siku/ mwezi

Nilitaka kufanya hii kitu nikakosea nikaweka pesa kwenye biashara ya cafeteria na haijanipa matokea chanya
 
Mkuu asante sana kwa hili bandiko naomba kama itakupendeza uje na bandiko la muongozo wa kufungua kituo cha afya (health centre au Hospitali) nina mpango wa kuja Tanzania kufungua hospitali au kituo cha afya nina msukumo mno wa kufanya hilo jambo..
Asante mkuu,Naamini wapo watu hapa JF wenye uelewa kwenye upande wa Health centre na hospitali watatusaida hilo.Una wazo zuri sana

Mkuu kpng12 hebu tia neno hapa kwenye swali la mdau
 
Ni kugumu balaa asikuambie mtu. Njia ya kukomesha ni moja tu, wewe mwenyewe ukae mapokezi (cashier) na mkeo akae dirisha la dawa.

Tahadhari, ukifanya hivyo jiandae kubadilisha wafanyakazi kila mwezi, wafanyakazi wa kibongo ukiwabana sana hawakai
[emoji3][emoji3][emoji3],Aisee ni kazi,kwamba ni lazima uwepo hapo hapo,wabongo noma sana
 
Asante mkuu,Naamini wapo watu hapa JF wenye uelewa kwenye upande wa Health centre na hospitali watatusaida hilo.Una wazo zuri sana

Mkuu kpng12 hebu tia neno hapa kwenye swali la mdau
Unfortunately sijawahi kufungua dispensary wala kituo cha afya
 
Mkuu ungetoa na makadirio ya kiasi cha pesa unachoweza kuingiza kwa siku/ mwezi

Nilitaka kufanya hii kitu nikakosea nikaweka pesa kwenye biashara ya cafeteria na haijanipa matokea chanya
Nitakuja kuweka makadirio huko mbeleni nikipata uzoefu,ila ujue inakuwa vigumu kupata uhalisia maana kupatikana kwa wateja kunatofautiana kati ya eneo moja na lingine,hivyo kitu muhimu hapa ni Uchaguzi wa location.

Lakini wenye uzoefu wanaweza kutusaidia hapa makadirio
kpng12 una uzoefu katika hili?
 
Yeah kwa hili ninauzoefu nalo, kwenye kijiwe changu nikikosa saana ni 60k per day, na nikibarikiwa saana ni 180k per day. Jumla ya mwezi huwa ni 2-3m point something. Kijiwe kina miezi 10 sasa.
 
Yeah kwa hili ninauzoefu nalo, kwenye kijiwe changu nikikosa saana ni 60k per day, na nikibarikiwa saana ni 180k per day. Jumla ya mwezi huwa ni 2-3m point something. Kijiwe kina miezi 10 sasa.
Asante sana, nadhani jamaa amepata picha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…