Zitambue taratibu za Kufungua Maabara binafsi ya Afya na Makadirio ya Gharama zake

Ahsante mkuu mi nimefungua ila wakaguzi wanasumbua balaaha make incinerator sijajenga nipo karibu na nyumba ya DLT wa mkoa mwingine
Kusumbua wanasumbua kweli,maana leo watasema hivi kesho vile,shida kubwa nao ni kutokuwa na makini tu,ukimpa mtu maelezo yote na vitu vinavyotakiwa tangu mwanzo kwa maandishi wala hakuna kitu kigumu
 
Ntaomba mkuu aongezee vitu ambavyo mfunguaji maabara atakiwi kukutwa navyo kwenye chumba cha maabara maana zile fine za kila kosa 300000 zina boa balaaha arafu kibaya zaidi DLT kurusiwa kuondoka na vifaa vya mwenye maabara hadi alipe fine kama unakuwa hauko vizuri unatolewa mchezoni mapema ...
 
Taratibu sijazifuata maana ningepata rongo rongo Sana...nilifuata taratibu Halmashauri ya Monduli Hadi nikaamua nisepe wilaya nyingine tu...mtaji haizidi 2mil...kila Kitu ñacho ...DMO alinifuma juzi akaniomba laki 2 niendeleze huduma pasipo buguza...akawaambia na timu yake waniache nifanye taratibu mdogo mdogo...huku Kijijini chumba 20000 kodi...of course sijajutia
Unamaanisha hujafuata taratibu za kufungua au vipi?
 
Microscope used _300000
Centrifuge machine_200000
Hb & RBG machine_120000
Meza _60000
strip za mrdt,pitc,Vdrl,hvs,h_pilory,upt_50000
sing bod _18000
mengineyo _150000
sinki la kunawia _35000

Taka nachomea Kituo cha jirani...
 
Mkuu hayo mambo ni ya kitaalamu zaidi,lakini ukishapewa ruhusa ya kufungua maabara si utakuwa unapima magonjwa kwa kadri ulivyoomba?sasa hivyo vitu tofauti ambavyo hutakiwi kukutwa navyo ni kama nini?

Kama ni vipimo utapima vile ambavyo unaruhusiwa kupima kutokana na level ya maabara yako,na mashine za vipimo ni hivyohivyo utakuwa nazo zile ambazo zinahusiana na vipimo ulivyoruhusiwa.

Ninachojua labda huruhusiwi kutoa dawa hapo maabara ,wewe ni kupima tu.
 
OK hapo nimekuelewa,bado una mchakato mrefu kufikia ili iwe maabara halali
 
Microscope used _300000
Centrifuge machine_200000
Hb & RBG machine_120000
Meza _60000
strip za mrdt,pitc,Vdrl,hvs,h_pilory,upt_50000
sing bod _18000
mengineyo _150000
sinki la kunawia _35000

Taka nachomea Kituo cha jirani...
Kwakuwa umeshapata vifaa used kwa kuanzia ni vizuri pia,na kwakuwa umeshamziba mdomo DMO piga kazi,ila kumbuka wakija wakaguzi wa Baraza itabidi ufunge na ukimbie kabisa kama utakuwa bado hujarasimisha.

Cha muhimu endelea kuboresha kufuatana na taratibu zinavyotaka.
 
Uko sahihi kabsa mkuu isipokuwa mi nilikuwa namanisha kwamba endapo wakakuta vitu tofaut na vya upimaji
 
Mkuu asante sana kwa hili bandiko naomba kama itakupendeza uje na bandiko la muongozo wa kufungua kituo cha afya (health centre au Hospitali) nina mpango wa kuja Tanzania kufungua hospitali au kituo cha afya nina msukumo mno wa kufanya hilo jambo..

Karibu tufanye Jambo mkuu.
 
Sahihi kabisa dispensary most of the time Ni pasua kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…