Wana Morogoro wanajuwa Kazopata,.Yaani roho ya kwa nini,akikwambia kitu anaona we utalifanyia kazi alafu utapata,na yeye hataki wewe upate japo yeye siyo Mungu.
Asante sana Mkuu,kuhusu Dispensary au health center sina ufahamu navyo mkuu,labda uanzishe Uzi humu huwezi kosa michango ya wajuzi,usiache hio ndoto ife